Yanayotokea Chadema muda si mrefu yatatokea CCM.

Mwande na Mndewa

JF-Expert Member
Joined
Feb 26, 2021
Posts
1,117
Reaction score
3,153
Matokeo ya Mkutano wa Tundu Lissu;-

Siasa zinaenda kubadilika sana kama Tundu Lisu ataingia madarakani nafasi ya Uenyekiti CHADEMA,huenda CCM ikatangaza Jambo lenye maamuzi magumu kuelekea Uchaguzi mkuu Kkuikabili hali hii,kumbuka TLS yuko Mwabukusi.....

#Hapa ndipo refa huwa anaingia Uwanjani na kinywaji baridi
 
Pachangamke sasa
 
Hahaha kumbe anatisha eh? Ndio mana nyuzi nyiiiingi zinasema hafai sasa nishaelewa ni "fear of unknown" inawatesa chawa waandamizi na wapya! 😀

Uhakika wa kitumbua unahujumika dah! Kweli usiombe kufiwa na mganga!
 
Matokeo ya Mkutano wa Tundu Lissu;-

Siasa zinaenda kubadilika sana kama Tundu Lisu ataingia madarakani nafasi ya Uenyekiti CHADEMA,huenda CCM ikatangaza Jambo lenye maamuzi magumu kuelekea Uchaguzi mkuu Kkuikabili hali hii,kumbuka TLS yuko Mwabukusi.....

#Hapa ndipo refa huwa anaingia Uwanjani na kinywaji baridi
UNAJUWA MAANA YA DOLA WEWE AU UNASEMA TU?
 
Kule ndio kubaya, mlipuko wake si wa nchi hii siku wakianza kujambiana. Wasiwacheke chadema kunakofuka moshi wakadhani wao hayatatokea kwao
 
Mkatiba wao una utata, sema tu wanavumiliana wanajifanya hawaoni matatizo yao. Tuwaombee sana waendelee kuvumiliana na kofia zao mbili
 
UNAJUWA MAANA YA DOLA WEWE AU UNASEMA TU?
Hizo dola hazikuwepo Msumbiji, Botswana, Zambia, Kenya, congo, Libya, Syria, na kwingineko ambapo chama ama familia moja ilitawala kwa muda mrefu?
 
Ha ha ha! Mwambieni Katelefoni fomu za Mwenyekiti zinatakiwa zaidi ya moja!
 
Matokeo ya Mkutano wa Tundu Lissu;-

Siasa zinaenda kubadilika sana kama Tundu Lisu ataingia madarakani nafasi ya Uenyekiti CHADEMA,huenda CCM ikatangaza Jambo lenye maamuzi magumu kuelekea Uchaguzi mkuu Kkuikabili hali hii,kumbuka TLS yuko Mwabukusi.....

#Hapa ndipo refa huwa anaingia Uwanjani na kinywaji baridi
Kitakachoinusuru ni kuachana na mambo ya Fomu moja ya ugombea Urais 2025.
 
Back
Top Bottom