Mwande na Mndewa
JF-Expert Member
- Feb 26, 2021
- 1,117
- 3,153
Pachangamke sasaMatokeo ya Mkutano wa Tundu Lissu;-
Siasa zinaenda kubadilika sana kama Tundu Lisu ataingia madarakani nafasi ya Uenyekiti CHADEMA,huenda CCM ikatangaza Jambo lenye maamuzi magumu kuelekea Uchaguzi mkuu Kkuikabili hali hii,kumbuka TLS yuko Mwabukusi.....
#Hapa ndipo refa huwa anaingia Uwanjani na kinywaji baridi
Tulilala sana mkuu bora amsha amsha irudi sio kila siku vyombo vya habari vimejaa uchawa wa yanga, simba mwijaku na diamond!Pachangamke sasa
Kabisa mara mobeto na azizi ki mambo ya kingese tupuTulilala sana mkuu bora amsha amsha irudi sio kila siku vyombo vya habari vimejaa yanga simba mwijaku na diamond!
Matokeo ya Mkutano wa Tundu Lissu;-
Siasa zinaenda kubadilika sana kama Tundu Lisu ataingia madarakani nafasi ya Uenyekiti CHADEMA,huenda CCM ikatangaza Jambo lenye maamuzi magumu kuelekea Uchaguzi mkuu Kkuikabili hali hii,kumbuka TLS yuko Mwabukusi.....
#Hapa ndipo refa huwa anaingia Uwanjani na kinywaji baridi
UNAJUWA MAANA YA DOLA WEWE AU UNASEMA TU?Matokeo ya Mkutano wa Tundu Lissu;-
Siasa zinaenda kubadilika sana kama Tundu Lisu ataingia madarakani nafasi ya Uenyekiti CHADEMA,huenda CCM ikatangaza Jambo lenye maamuzi magumu kuelekea Uchaguzi mkuu Kkuikabili hali hii,kumbuka TLS yuko Mwabukusi.....
#Hapa ndipo refa huwa anaingia Uwanjani na kinywaji baridi
Ota na weweUnaota wewe 😂
Sema chadema kitengo Cha propaganda Kilala na kujiegeuza kitengo Cha majunguKabisa mara mobeto na azizi ki mambo ya kingese tupu
KumbeSema chadema kitengo Cha propaganda Kilala na kujiegeuza kitengo Cha majungu
Hizo dola hazikuwepo Msumbiji, Botswana, Zambia, Kenya, congo, Libya, Syria, na kwingineko ambapo chama ama familia moja ilitawala kwa muda mrefu?UNAJUWA MAANA YA DOLA WEWE AU UNASEMA TU?
DuhMkatiba wao una utata, sema tu wanavumiliana wanajifanya hawaoni matatizo yao. Tuwaombee sana waendelee kuvumiliana na kofia zao mbili
Kitakachoinusuru ni kuachana na mambo ya Fomu moja ya ugombea Urais 2025.Matokeo ya Mkutano wa Tundu Lissu;-