Surya
JF-Expert Member
- Jun 7, 2015
- 8,774
- 13,566
Mie nipo single tu kama Marioo kwa sasa, japo nimewahi kua kwenye mahusiano ya kimapenzi hapo nyuma
Niseme machache katika sekta hii ya mapenzi.
Dear ladies;
Sie wanaume tumekua tukiwapenda sana na kuwaangaikia sana kwani sie ndio wakeleketwa zaidi katika chama chetu pendwa cha mapenzi, dear ladies please msibaki nyuma katika hili.
Wanaume kutongoza na kukubaliwa au kukataliwa ni sehemu yetu ya maisha.
Niende kwenye mada, wasichana wengi wamekua wakipoteza ladha ya mapenzi na kuyafanya yakose mvuto kabisa hasa wakati wa kufanya mapenzi kwa sababu ya kua na vitabia tabia vya kuweka sheria wakati wa kufanya mapenzi
Na tabia ya kushidwa kufanya baadhi ya mambo wakati wa kufanya mapenzi
1. Taa izimwe.
Wakati wa kufanya mapenzi kulazimisha taa izimwe si sawa kwani msisimko au hisia za mapenzi huamshwa na milango miwili ya fahamu nayo ni Macho kumuona mpenzi wako akiwa mtupu bila nguo, pamoja na kumshika (touch) ndipo hisia hukolea vizuri.
2. Mpenzi wako kutaka kufanya tendo fulani kisha ukamkatisha na kumwambia subiri;
Mpe mpenzi wako anachotaka kwa wakati mkiwa kitandani. Pale mwanaume anapotaka tendo fulani lifanyike na wewe kuamua kumkatisha unakua unarudisha nyuma hisia zake za kufanya mapenzi.
mfano mwaname akikwambia sasa tunaweza kubadili sex style, then ukamwambia subiri.
3. Kuongea mada zisizo husiana na mapenzi wakati wa kufanya ngono.
4. Kushindwa kushika sehemu za siri za mwanaume wako, au kumshika kwa uhoga.
Jambo hili pia hupunguza mvuto na msisimko wa mapenzi, wanawake wengine wamekua wakishindwa kabisa kujishugulisha kwa lolote, kushika uume wa mpenzi wake huongeza hisia na msisimko wa mapenzi.
5. Maelezo ya uso (Facial expression);
Wakati wa kufanya mapenzi mwanaume humtizama mwanamke usoni kujua nini kinaendelea kwa upande wake anafurahia tendo au hafurahii tendo.
Hutakiwi kua na uso wa wasiwasi au maumivu, Uso wa furaha wakati mkiwa chumbani huongeza zaidi hamu ya tendo na hisia za kimapenzi.
6. Mwanamke kua kiongozi (director) na kwa haraka pia;
Wakati mwingine wanaume tunataka wasichana muongoze tendo zima la kufanya mapenzi kwa haraka bila kukatisha.
mwanamke anapoanza kumshika mwanaume kwa ajili ya kufanya mapenzi pia huongeza zaidi hisia za kimapenzi kwa mwanaume kwani mwanaume akiona hivo hutambua wazi kua unalihitaji tendo sana kwa siku hiyo.
7. Usikae kimya wakati utamu wa tendo umekolea.
Miguno ya kimahaba muhimu pia.