Surya
JF-Expert Member
- Jun 7, 2015
- 8,774
- 13,566
- Thread starter
- #21
Ukiwa na manzi mshapu raha sana.,[emoji16]Ndio maana kuna ka X kangu kamoja mtu mzima nimejirudisha mdogo mdogo... ni katamu mbaya, kakishanogewa tu baasiii yanii pale katafanya lolote utakalompa au kumwambia afanye [emoji4][emoji4][emoji4][emoji4]...
Ni vile tu tulizinguana ila ka kuoa ningeoa uyu