Ndio maana kuna ka X kangu kamoja mtu mzima nimejirudisha mdogo mdogo... ni katamu mbaya, kakishanogewa tu baasiii yanii pale katafanya lolote utakalompa au kumwambia afanye [emoji4][emoji4][emoji4][emoji4]...
Ni vile tu tulizinguana ila ka kuoa ningeoa uyu