Yanayowakuta Simba kwa media iwe onyo kwa teams nyingine za Tanzania huko kimataifa

Yanayowakuta Simba kwa media iwe onyo kwa teams nyingine za Tanzania huko kimataifa

Ukaichilia team moja tu ambayo kupitia kwa watu wake inaratibu syndicate hii kubwa inayohusisha waandishi takataka lifuatalo ni onyo kwa teams nyingine za bongo zinazoenda kimataifa:

Msithubutu kufanya vizuri hata kidoogo simba ndani ya miaka 3 kaingia robo fainali mara mbili na sasa ni ya 12 kwa ranks za CAF chuki iliyopo kwenye media inatisha kwa sasa.

Namungo alijitahidi kufika makundi walikiona cha moto vipindi vilikuwa dedicated ku discuss hadi mambo ya chumbani kambini kwao huko Chamanzi.

Kwenu Azam na Biashara utd jitahidi mtolewe mapema msije kuwaudhi waandishi takataka wakaanza kuwawekea vikao kwenye mautopolo yao.

*Wanalia machozi ya mamba redioni wakilalamika kuhusu maendeleo ya soka utadhani kama kweli vile wanaitakia mema nchi.. Imenikumbusha ile nyimbo ya Upendo Nkone ukianza safari wanakupa moyo ukionyesha mafanikio vita vinaanza
Huo wimbo uliotaja hapo mwishoni Upendo Nkone aliuimba mwaka gani?
 
Back
Top Bottom