hivi jamani jana mchezo wa yanga/apr mmeona refa toka kenya alivyotuuma?magoli yote ya apr deadballs tena za kutafutiwa na refa,yellow card dhidi ya yanga kibao.TFF mko wapi,mashindano yapo Tanzania inakuwaje tunakuwa treated na waamuzi kama vile tunacheza away game?si Tenga ndo rais wa cecafa?au ndani ya TFF kuna watu wana njama Yanga asisonge mbele?too bad!