SAGAI GALGANO
JF-Expert Member
- Nov 13, 2009
- 47,706
- 69,281
Mnywa uji haelewi hilo.Mpira sio historia mpira ni achievement mpaka leo mna 0.5 kama radius of the sphere mnazidiwa point mpaka na namungo na biashara licha ya kushiriki miaka yote hyo badala mtengeneze team ya ushindani mmebaki historia tu na majungu.
Point hazikusaidii kubeba kombe, hazina maaana yoyote kama hujabeba kombe.Mpira sio historia mpira ni achievement mpaka leo mna 0.5 kama radius of the sphere mnazidiwa point mpaka na namungo na biashara licha ya kushiriki miaka yote hyo badala mtengeneze team ya ushindani mmebaki historia tu na majungu.
Kwa sasa haisaidii. Tuandae timu kwa ajili ya mashindano yajayoilikuwa ni kwa mara ya kwanza kwa bingwa mara 8 wa afrika wakati huo Al ahly alipokutana na timu ya wananchi Dar Yanga Afrika akapasuka bao moja bila
KAMA KUNA TIMU YOYOTE IMEWAHI KUIFUNGA AL AHLY basi wajue ni marudio tu WANANCHI wamefanya hayo kitambo sana (Been there done that)
Mashabiki wengi vijana wa enzi ya Azam Tv hii mechi iliwapita Al ahly waliomba poo hapo uwanja wa taifa nawaletea match report kwa mujibu wa africanfootball.com
Young Africans beat champions Al Ahly - 2014 CAF Champions League - Al Ahly
YOUNG AFRICANS BEAT CHAMPIONS AL AHLY
Saturday Mar 01, 2014. 18:05
View attachment 2305828
Tanzania League Champions have this evening stopped eight time African champions Al Ahly of Egypt 1-0 in the first leg of the CAF Champions League tie played in the National Stadium in Dar es salaam.
Fresh from winning the Africa Super Cup, the Egyptians failed to put their act together as the home side dominated proceedings.
Skipper Nadir Haroub Cannavaro scored the important goal in the 82rd minute. The home side with Ugandan stars Emmanuel Okwi, Hamis Kizza and play maker Mrisho Ngasa run rings around the giant side, but failed to find early goals.
Al Ahly who have been under lots of pressure from their fans back home because of poor results in the domestic League stood firm and defended in numbers. But the home side made sure they gave their fans a perfect weekend gift ahead of the return leg in Cairo next weekend.
Jaluo analilia habari za mwaka 47Kwa sasa haisaidii. Tuandae timu kwa ajili ya mashindano yajayo
kila wakati huna hoja zaidi ya kabila langu, shida nini? kuna tatizo gani mtu akiwa mluo mbona Divork Origi wa AC MILAN ni mluo
inawauma maana mnaongopeana na wachambuzi wenu wa mchongo kuwa Simba imefanya makubwa wakati Yanga kitambo tu mambo hayoAnatafutiza historia za utopoloni, [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Wameshikwa pabayaaaa, woiiiiiiiih.
Byuti byuti.
Relax,kunywa maji ya uvuguvugu, hata Barack Obama alikuwa Mjaluo. Sina shida na kabila lako ila Utopolo wako unaopost ndiyo tatizo.kila wakati huna hoja zaidi ya kabila langu, shida nini? kuna tatizo gani mtu akiwa mluo mbona Divork Origi wa AC MILAN ni mluo
Uko nyuma ya mudaNani kasema hivo jamani πππππ nini kwenye chupi?ππππ
Kweli mkuu, nimeshindwa kununa nimeishia kucheka sanaπππUko nyuma ya muda
Kweli mkuu, nimeshindwa kununa nimeishia kucheka sanaπππ
HongeraKweli mkuu, nimeshindwa kununa nimeishia kucheka sanaπππ
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] huu uongo wenu unawasaidia nn? Km unaumia vimba hadi upasuke lol.inawauma maana mnaongopeana na wachambuzi wenu wa mchongo kuwa Simba imefanya makubwa wakati Yanga kitambo tu mambo hayo
Wenzako wanatafta kombe wewe unatafta pointsMpira sio historia mpira ni achievement mpaka leo mna 0.5 kama radius of the sphere mnazidiwa point mpaka na namungo na biashara licha ya kushiriki miaka yote hyo badala mtengeneze team ya ushindani mmebaki historia tu na majungu.
Ahaa, kumbe kitambo sana! Wenzenu wanafanya kila wanapokutana nao, tena sio kitambo, miaka mitatu tu iliyopita wamewaua mara mbili. Hebu turudi kwenye mjadala wa jezi mpyaKAMA KUNA TIMU YOYOTE IMEWAHI KUIFUNGA AL AHLY basi wajue ni marudio tu WANANCHI wamefanya hayo kitambo sana
Utachukuaje kombe bila kupitia hzo hatua unaona simba haanzi hatua ya awali hio ndo achievement sasa kombe la CAF champion's league unategemea kuchukua msimu mmoja ile ni project kama unavyoona world cup .Point hazikusaidii kubeba kombe, hazina maaana yoyote kama hujabeba kombe.
Ata uwe na point 50,000 kama huna kikombe hakuna mtu atakuheshim.
Kuchukua kombe la CAF champion's league sio overnight process ni long term project endeleeni kuendekeza propaganda kama mnacheza league ya bongo.Wenzako wanatafta kombe wewe unatafta points