Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
kwa nini uone soo kujitangaza TopoloMku acha masihara? Kwa mpira gani tulionao? We Sema kuwa kwa wale wakubet kesho ni kuweka ushindi wa goli moja la penati Kisha unaweka stake ya laki uhakika mkeka unasoma
Mijamaa ilishasahau kua biashara washawahi ku draw nao. Lkn wanavyoongea utadhani waliwafunga.
Anyway Yanga 2- 1 BiasharaSamahani Kaka Naomba Matokeo ya Leo,
Ahsante
Anyway Yanga 2- 1 Biashara
Ulitaka yaweje boss mkubwaDaaa Basi Mkuu…
Nimeumia na Haya Matokeo!
Anyway[emoji30][emoji30][emoji51]
Unaelekea kuchanganyikiwa dogo[emoji1787][emoji1787]Nimempigia mama na baba kuwaambia kesho nitafunga ndoa na yanga kanisani.
Mpira Umeisha Kwa Young Africans 2 - 1 Biashara UnitedNgapi ngapi hukoo
Umeangalia Mpira Wewe Na Takwimu Umeziona Baada Ya Mechi?Ni Kama Vile kuna Watu Wameshinda ila hawawezi Kushangilia Jinsi Wanavyokimbizwa na Vijana.
Subiri Goli La Offside Au Penalty Mpige Mkalale.Inawalazimu mashabiki kusubiri mpaka kesho kuona mpira wa kweli
Mtoto wa 2000's huwezi kujuaMwiko huo huwa ni upi
PoleMtoto wa 2000's huwezi kujua