Yanga 2-1 Biashara United | Ligi Kuu | Benjamin Mkapa

ESPRESSO COFFEE

JF-Expert Member
Joined
Sep 6, 2014
Posts
6,170
Reaction score
7,665
Ni Yanga Sc Dhidi Ya Biashara United Kutoka Mara. Mchezo huu ni Saa 1 jioni Ya leo, ikiwa bado masaa matatu kuelekea mchezo huu, Naendelea kutafuta Hela Ili niipie Ahadi ya Tsh 10M kama Biashara wakitoa Droo na Yanga Sc.

Leo, Biashara United Ataweza Kumsimamisha Yanga Sc? Kama alivyo fanya kwa Mnyama Simba? Tusubiri Dakika 90

Tuwe hapa pamoja.
 
Hawa mbuzi wanapigwa leo jiesiemu kashapitisha bahasha ya kaki
 
Biashara nguvumoja
Uto 0 BuM 3
 
Biashara nguvumoja
Uto 0 BuM 3
 
Mama-e zenu Bodi ya Ligi Acheni upuuzi kuweka mechi saa 1 usiku wakati siku nzuri ka leo Uwanja wa Ben Mkapa ungejaaa na Wananchi FC angevuna Nil 200+M za Mlangoni. Lkn kwa Upuuzi wenu wa kuweka gemu usiku hata 80M hazitafika
 
Mechi ya Utopolo na Biashara ipatikane milioni 200?

Ili upate hiyo pesa inabidi waingie watu 40,000 kwa kiingilio cha 5,000/=

Je, ni hakika wangeingia hao watu?
 
Hili jukwaa mmeĺipamba sana Mbumbumbu FC
 
Leo Biashara anapata point 3 kila lazima
Tuombe refa wa leo awe bachelor, ila kama ana familia na huu ndio mwisho wa mwaka ambapo watoto wanahitaji madaftari, mikoba, sare, na hela ya sikukuu kwa ajili ya mwaka mpya itakua ni ngumu kuepuka vishawishi na sio rahisi utabiri wako kutimia

Labda mechi ya leo refa awe bahkresa
 
Mechi ya Utopolo na Biashara ipatikane milioni 200?

Ili upate hiyo pesa inabidi waingie watu 40,000 kwa kiingilio cha 5,000/=

Je, ni hakika wangeingia hao watu?
Alijua watu watachukulia poa na watajadili maswali ya update hawawezi kuangalia upotoshaji

He didn't see it coming
 
Usiwe na hofu leo Uto kupigwa lazima
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…