ESPRESSO COFFEE
JF-Expert Member
- Sep 6, 2014
- 6,170
- 7,665
Ni Yanga Sc Dhidi Ya Biashara United Kutoka Mara. Mchezo huu ni Saa 1 jioni Ya leo, ikiwa bado masaa matatu kuelekea mchezo huu, Naendelea kutafuta Hela Ili niipie Ahadi ya Tsh 10M kama Biashara wakitoa Droo na Yanga Sc.
Leo, Biashara United Ataweza Kumsimamisha Yanga Sc? Kama alivyo fanya kwa Mnyama Simba? Tusubiri Dakika 90
Tuwe hapa pamoja.
Leo, Biashara United Ataweza Kumsimamisha Yanga Sc? Kama alivyo fanya kwa Mnyama Simba? Tusubiri Dakika 90
Tuwe hapa pamoja.