financial services
JF-Expert Member
- May 17, 2017
- 17,776
- 42,402
Tumeshauaaamwananchi vimbaaaaaaaaa
Kikubwaa point 3Hivi haya matimu yenu ya Yanga na Simba yataendelea kubebwa hadi lini? Kuna faulo ya penati pale ?
Huu ni ushenzi kabisa
Tumeshauaaa
Kikubwaa point 3
Mkuu tuzungumzie hii mechi kwanza. Ulivyoona moloko kajidondosha au kasukumwa?Mimi nilisema hawa makocha yanga kushinda ni lazima labda refa angekuwa bahresa
Tulia wewe Kolo unadhani ni mieleka ileHivi haya matimu yenu ya Yanga na Simba yataendelea kubebwa hadi lini? Kuna faulo ya penati pale ?
Huu ni ushenzi kabisa
Hahahaha kwa penalt ya mchongoMakolo wanawashwa washwa
Msaada? Penati ya halali kabisa acha wivu 😂Kwa msaada wa Refa. Yanga hamjiwezi kabisa,kila mkielemewa lazima msaidiwe [emoji23][emoji23][emoji23]
Tusisahau kumshukuru refaTumeshauaaa
Hakuna ni halali kabisaTusisahau kumshukuru refa
Asanteeee mkuuKwa style hii mashindano makubwa mtakuwa mnaishia round ya kwanza kisha mnaendelea kupokea wageni Airport.
sio haionekani vizuri wameamua kufanya hivyo just kuwafichia aibu watu wasione clearly walivyo bebwaReplay ya faulo iliyopelekea Yanga kupata penati haiyonekani vizuri, AzamTv hapa ndipo wanapokwama🚮🚮
Msaada? Penati ya halali kabisa acha wivu [emoji23]