Scars
JF-Expert Member
- Apr 8, 2017
- 48,055
- 116,512
Tatizo linakuja pale nikiongelea yanga negative ndio inatafsirika "snitch"Ukiamua kuwa neutral unaweza,
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Tatizo linakuja pale nikiongelea yanga negative ndio inatafsirika "snitch"Ukiamua kuwa neutral unaweza,
TFF wakishapata ulaji kulisha matumbo yao huwa hawajali kuhusu mashabiki au ligiMm nilitamani kabla ya kutoa mkwanja tff angeboresha kwanza live kwa kuongeza camera na ubora ,kuna matokeo mengi ya mechi yanakuja kuonekana baadae mechi ishaisha
Leo Feisal mpira umemkataampira yanga wameucheza sana ila swala la wamaliziaji kule mbele bado ni tatizo
Feisal kakosa nafasi ya wazi kabisa, mayele ndo usiseme yani wangekua fit pale mbele saizi yanga ingeenda mapumziko ikiwa na magoli hata 3
Kingine mayele ameonekana mbinafsi sana kabla ya kufunga bao la kusawazisha, yani ni kama alikua nataka afunge kwanza ndio aangalie na wengine kama anaweza kuwapa pass za kufunga
Na ndio maana baada ya kufunga amekuwa akitoa pass hata sehemu ambayo angeweza kunipinda akagunga
Atafute sasa yeye si anataka kufanya biashara world wideMkuu sio kwamba Azam Bakhresa hataki kuwa na camera nyingi uwanjani Ila Camera za live broadcasting zina gharama kubwa sana na ndio maana huwa anaziongeza taratibu kwa kadri ya uwezo wake
Yaaan nimebana mbupu wapigwe jingine wakavue samaki kigamboniBado Utopolo hawajaongezwa lingine??
Halafu sio leo tu, hata kwenye derby naye alifichikaLeo Feisal mpira umemkataa
Bora watoke sare mkuu utopolo watatamba sana wakifunga la piliHii mechi Biasha united wakifanya masikhara wanatoka sare
Hii mechi biashara united inatakiwa washinde, wakicheza fyongo itawa-cost watapata sareBora watoke sare mkuu utopolo watatamba sana wakifunga la pili