Yanga 2-1 Biashara United | Ligi Kuu | Benjamin Mkapa

Fu. K TFF, Bodi ya Ligi, Simba, yanga na waamuzi individual au kupitia Chama Chao. Mnaua ushindani wa soka la bongo.
 
Hapana mkuu unajua hili kombe msimu huu ni letu, ishatengwa fungu kwenye shughuli ngumu kama hizi

Hata benchi lao la ufundi likiongozwa na Nabi wanajua kabisa kuwa pana msaada mkubwa sana wanapatiwa kupitia mlango wa nyuma uwanjani.Ni kama mwanafunzi kupata Div I huku mitihani ulipewa kabla,hata wewe mwenyewe unakuwa hufurahii sababu unajua uhalisia wa hayo matokeo.
 
Kivipi,Yanga wakipewa penat soka limekufa?

Penalt Ilikuwa Halali? Yanga na Simba Kuna muda Tunaharibu Mpira tusipokua Makini…

Wajitokeze Matajiri wengine kama 5 hivi wawekeze Kwenye Timu za Chini
 
Utopolo siku si nyingi wataanza kudondosha alama

Tunawajua mzunguko wa pili pumzi hukata na mbivu na mbichi huwa zinaonekana.Hata wabebwe kiasi gani,itafikia hatua watakuwa hawabebeki tena,unless kila mechi wawe wanapewa penati zaidi ya 3
 
Penalt Ilikuwa Halali? Yanga na Simba Kuna muda Tunaharibu Mpira tusipokua Makini…

Wajitokeze Matajiri wengine kama 5 hivi wawekeze Kwenye Timu za Chini
Huyo beki wa bmu umeona alipoanza kumsukuma Moloko,amegusa mpira? Kamtoa njiani si kwa akili ni kwa mabavu. Ulitaka refa afanye nini atoe kona au goal kiki?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…