financial services
JF-Expert Member
- May 17, 2017
- 17,776
- 42,402
Boxing day leo imeisha vizuri, senkyu Yanga
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
yapVipi goli lililokataliwa je kweli kipa wa biashara kachezewa faulo?
Yes imewalipaNapenda namna BUM wanavyocheza game ya leo
Objectives football na itawalipa vizuri sana
Hapana mkuu unajua hili kombe msimu huu ni letu, ishatengwa fungu kwenye shughuli ngumu kama hizi
Hata mnara wa Babel haukujengwa kwa siku mojaAtafute sasa yeye si anataka kufanya biashara world wide
Kivipi,Yanga wakipewa penat soka limekufa?Fu. K TFF, Bodi ya Ligi, Simba, yanga na waamuzi individual au kupitia Chama Chao. Mnaua ushindani wa sija la bongo.
Boxing day leo imeisha vizuri, senkyu Yanga
Ni Matokeo tu ya mpiraYes imewalipa
Kivipi,Yanga wakipewa penat soka limekufa?
Kwa style hii mashindano makubwa mtakuwa mnaishia round ya kwanza kisha mnaendelea kupokea wageni Airport.
Utopolo siku si nyingi wataanza kudondosha alama
Umeumia sana?
Huyo beki wa bmu umeona alipoanza kumsukuma Moloko,amegusa mpira? Kamtoa njiani si kwa akili ni kwa mabavu. Ulitaka refa afanye nini atoe kona au goal kiki?Penalt Ilikuwa Halali? Yanga na Simba Kuna muda Tunaharibu Mpira tusipokua Makini…
Wajitokeze Matajiri wengine kama 5 hivi wawekeze Kwenye Timu za Chini
Boxing day ya kibabe sana mtani, umewaona vijana wa Arsenal kule walichokifanyaSenkyu Mr Refarii as well .Uwe na Boxing njema [emoji320][emoji3]