Yanga 2-1 Biashara United | Ligi Kuu | Benjamin Mkapa

Hivi Lile tukio la Penalt bado Sijalielewa?
Replay haioneshi vizuri ila ukiangalia kwa makini ni kwamba mchezaji wa yanga alikua mbele ya mchezaji wa biashara na wakati anakimbia mguu wake ulimtega mchezaji wa biashara na kufanya jamaa amuangukie

Kisheria refa alipaswa kuipa faida biashara united au angekosa kabisa uzalendo angefanya fair play kwa kuruhusu mpira uchezwe kama goal kick
 
Fu. K TFF, Bodi ya Ligi, Simba, yanga na waamuzi individual au kupitia Chama Chao. Mnaua ushindani wa sija la bongo.
Naona hata kichwa Cha habari Cha uzi huu bado kinasomeka 1-1...
 
Eti kwa uchambuzi wako,weka unazi pembeni sema nani alikuwa anamiliki huo mpira na huyo beki wa alikuwa wapi?
 
Wewe hata ukifa utakuwa unaiota Yanga
 
Eti kwa uchambuzi wako,weka unazi pembeni sema nani alikuwa anamiliki huo mpira na huyo beki wa alikuwa wapi?
Wakati wa tukio hakuna ambaye alikua na mpira kwa wakati huo wote walikua wanaukimbilia na mbeleni kulikua na mchezaji wa biashara united mwingine ambaye alikua anau-handle ule mpira, ebu ngoja niiweke clip hapa japokuwa azam replay yao ipo kichoyo
 
anapewaje advantage mtu alie kua ana kaba na hamiliki mpira?
 
Penalt Ilikuwa Halali? Yanga na Simba Kuna muda Tunaharibu Mpira tusipokua Makini…

Wajitokeze Matajiri wengine kama 5 hivi wawekeze Kwenye Timu za Chini
Unaposema sio halali fafanua kivipi? Je moloko alijidondosha hakusukumw?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…