ummumuhammad
JF-Expert Member
- Sep 8, 2014
- 796
- 697
Hii yanga ni suala la muda mambo yataanza kuharibika
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nikweli kama trh 25 sept ilivyotokea mlifunga nyie tukapewa ushindi sisi.Vyura bila msaada wa marefa ni wepesi kama kipande cha Toilet Paper Chooni
Na atakomaUmeumia sana?
Bora watoke sare mkuu utopolo watatamba sana wakifunga la pili
Hiyo ndo raha ya footballSiku hizi uto lazima apachikwe kwanza ha,afu ahangaike na kuchomoa!
Msubili yule msomali kwenye kipindi chake.Hivi Lile tukio la Penalt bado Sijalielewa?
Hii imani yako ni kali yako sanaTuwasubiri Dodoma Jiji watatuonesha nini. Ila hii Yanga Ni Suala La Muda Tuuu watakuja kupigwa Mfululizo…. kikosi Gani kilekile?
Replay haioneshi vizuri ila ukiangalia kwa makini ni kwamba mchezaji wa yanga alikua mbele ya mchezaji wa biashara na wakati anakimbia mguu wake ulimtega mchezaji wa biashara na kufanya jamaa amuangukieHivi Lile tukio la Penalt bado Sijalielewa?
Tulishasema yule kasongo hana uwezo mpaka leo mwamuzi wa namungo hajaadhibiwa.Fu. K TFF, Bodi ya Ligi, Simba, yanga na waamuzi individual au kupitia Chama Chao. Mnaua ushindani wa sija la bongo.
Naona hata kichwa Cha habari Cha uzi huu bado kinasomeka 1-1...Fu. K TFF, Bodi ya Ligi, Simba, yanga na waamuzi individual au kupitia Chama Chao. Mnaua ushindani wa sija la bongo.
Eti kwa uchambuzi wako,weka unazi pembeni sema nani alikuwa anamiliki huo mpira na huyo beki wa alikuwa wapi?Replay haioneshi vizuri ila ukiangalia kwa makini ni kwamba mchezaji wa yanga alikua mbele ya mchezaji wa biashara na wakati anakimbia mguu wake ulimtega mchezaji wa biashara na kufanya jamaa amuangukie
Kisheria refa alipaswa kuipa faida biashara united au angekosa kabisa uzalendo angefanya fair play kwa kuruhusu mpira uchezwe kama goal kick
Mikia ndo waliwahi kuuandaa wameutltkeza tu.Naona hata kichwa Cha habari Cha uzi huu bado kinasomeka 1-1...
Replay haioneshi vizuri ila ukiangalia kwa makini ni kwamba mchezaji wa yanga alikua mbele ya mchezaji wa biashara na wakati anakimbia mguu wake ulimtega mchezaji wa biashara na kufanya jamaa amuangukie
Kisheria refa alipaswa kuipa faida biashara united au angekosa kabisa uzalendo angefanya fair play kwa kuruhusu mpira uchezwe kama goal kick
Wakati wa tukio hakuna ambaye alikua na mpira kwa wakati huo wote walikua wanaukimbilia na mbeleni kulikua na mchezaji wa biashara united mwingine ambaye alikua anau-handle ule mpira, ebu ngoja niiweke clip hapa japokuwa azam replay yao ipo kichoyoEti kwa uchambuzi wako,weka unazi pembeni sema nani alikuwa anamiliki huo mpira na huyo beki wa alikuwa wapi?
anapewaje advantage mtu alie kua ana kaba na hamiliki mpira?Replay haioneshi vizuri ila ukiangalia kwa makini ni kwamba mchezaji wa yanga alikua mbele ya mchezaji wa biashara na wakati anakimbia mguu wake ulimtega mchezaji wa biashara na kufanya jamaa amuangukie
Kisheria refa alipaswa kuipa faida biashara united au angekosa kabisa uzalendo angefanya fair play kwa kuruhusu mpira uchezwe kama goal kick
Boxing day ya kibabe sana mtani, umewaona vijana wa Arsenal kule walichokifanya
Kumbe ni shabiki wa timu sio shabiki wa mpira. Kwenye replay inaonesha kipa hakudaka mpira na pia hata kuguswa hakuguswa
Unaposema sio halali fafanua kivipi? Je moloko alijidondosha hakusukumw?Penalt Ilikuwa Halali? Yanga na Simba Kuna muda Tunaharibu Mpira tusipokua Makini…
Wajitokeze Matajiri wengine kama 5 hivi wawekeze Kwenye Timu za Chini