Biashara anaongoza 1Mbona mnatuchanganya wadau,ngapi ngapi hadi sasa?
Kazi kubwa alafu matokeo zeroJuma shabani naye kafanya alichofanya feisal, kapaisha
Kukosa haimaanishi kwamba sio mpigaji mzuri.Hivi ni nani aliwadanganya Utopolo kuwa huyu Babu Ntibazonkiza ni fundi wa Mipira iliyokufa? Kashatengewa mara ya 12 hii lakini hakuna kitu..!