Yanga 2-1 Biashara United | Ligi Kuu | Benjamin Mkapa

Yanga 2-1 Biashara United | Ligi Kuu | Benjamin Mkapa

Akili ya biashara united wanayotaka kuitumia itakuja kuwa kost
 
Hahaha jamaa anashangilia kwa fujo utafikiri kaifunga PSG
 
Wana yanga humu bandaumiza wanashangilia na mikelele mingi kwasababu mayele kapiga chenga
 
  • Thanks
Reactions: Lee
Yani kwa uchezaji huu wa biashara ilitakiwa mpaka saizi yanga aongoze goli 3
 
  • Thanks
Reactions: Lee
Dakika 3 za nyongeza kuelekea kutamatika kipindi cha pili
 
Back
Top Bottom