Yote kwa yote lakini mfungwa hachagui gereza.Etoile du Sahel ina mshambuliaji hatari sana, Baghdad Bounedjah, ambaye ni raia wa Algeria na ni mshambuliaji pia wa timu ya taifa ya Algeria. Jamaa anatupia kambani kama hana akili, na mwaka jana alikuwa mfungaji bora wa ligi ya Tunisia. Mwenye macho haambiwi ona
Tunaomba updatesSikulazimishi uyakubali kwakua kuna vilaza hapa wengi ila ukweli ndiyo huo wewe vaa jezy yako tu ya njano na kijani kesho kwa kujiamini kabisa mengine yatakuwa nyogeza
By kwa pamoja yanga tunaweza
Mleta mada ameshayajua matokeo ya mechi?
Yanga bwana ukimfunga stand coastal basi unadhani kumfunga etoile ni rahisi mkubwa huo ndio mwisho was mbwembwe zako oh yanga timu ya kimataifa so lolote so chochote