mkolaj
JF-Expert Member
- Mar 24, 2014
- 3,023
- 1,089
Yote kwa yote lakini mfungwa hachagui gereza.Etoile du Sahel ina mshambuliaji hatari sana, Baghdad Bounedjah, ambaye ni raia wa Algeria na ni mshambuliaji pia wa timu ya taifa ya Algeria. Jamaa anatupia kambani kama hana akili, na mwaka jana alikuwa mfungaji bora wa ligi ya Tunisia. Mwenye macho haambiwi ona
![]()
Yanga 3-0 Etoile du sahel.