Yanga 3 Etoile 0

Yanga 3 Etoile 0

moody kabwe

Member
Joined
Mar 13, 2015
Posts
76
Reaction score
21
Sikulazimishi uyakubali kwakua kuna vilaza hapa wengi ila ukweli ndiyo huo wewe vaa jezy yako tu ya njano na kijani kesho kwa kujiamini kabisa mengine yatakuwa nyogeza
By kwa pamoja yanga tunaweza
 
attachment.php
 
Aminaaaaaa na hivi kama mtakavyo...goli nyingi kwa Yanga
 
Hahahaha!!!... Kama miaka Simba tu mmeshindwa kuwafunga Waarab mtawaweza.??

Kuwatoa wabotswana na Zimbambwe kusiwapumbaze..

Tunataka tuone mbwembwe za NDALA!!
 
nahama jamii forum humu endapo yanga ikishinda 3
 
Kila la heri yanga. Ila hamtafikisha magoli mengi hivyo, labda moja
 
kwa timu mbovu ya Yanga haiwezekan kufunga goli 3 halaf warab washindwe kufunga kabisa hilo halitatokea hata uteremshe jeshi la malaika 1000...kufunga timu mbovu za mbeya city,coast na ruvu halaf unajiona unaweza kuwafunga warabu bao tatu huo ni u.ji.nga
 
kwa timu mbovu ya Yanga haiwezekan kufunga goli 3 halaf warab washindwe kufunga kabisa hilo halitatokea hata uteremshe jeshi la malaika 1000...kufunga timu mbovu za mbeya city,coast na ruvu halaf unajiona unaweza kuwafunga warabu bao tatu huo ni u.ji.nga

Tatizo lenu MMEKARIRI!
 
wale majamaa wameshiba hujaona hata miili na misuli,mtapigwa mbili zero
 
Tatizo lenu MMEKARIRI!

km umeangalia mechi za Yanga si kwamba anashinda kwa ubora wa kikosi chake bali anashinda kwa ubovu wa wapinzan wake...ligi yetu bado sana hata mapro tulionao ni wa kiwango cha kawaida sana
 
Etoile du Sahel ina mshambuliaji hatari sana, Baghdad Bounedjah, ambaye ni raia wa Algeria na ni mshambuliaji pia wa timu ya taifa ya Algeria. Jamaa anatupia kambani kama hana akili, na mwaka jana alikuwa mfungaji bora wa ligi ya Tunisia. Mwenye macho haambiwi ona


attachment.php
 
Back
Top Bottom