Lupweko
JF-Expert Member
- Mar 26, 2009
- 23,566
- 24,891
Leo nimeamua niweke katika kumbukumbu matokeo ya hii mechi ambayo hayanukuliwi mara nyingi kwa kuwa labda ilikuwa ni mechi ya mwisho katika msimu wa 2008/2009 tarehe 27/04/2009 kati ya timu ndogo ya Villa Squad iliyokuwa imeshashuka daraja dhidi ya Yanga iliyokuwa imeshanyakua ubingwa, na matokeo yoyote yasingebadilisha nafasi zao katika msimamo wa ligi.
Matokeo ya mechi hiyo yalikuwa ni Yanga 4-5 Villa Squad, yaani Villa Squad aliichapa Yanga kwa mabao 5-4.
Wafungaji wa mabao siku hiyo kwa upande wa Yanga walikuwa ni Boniface Ambani (dkk 2, 11,) Ben Mwalala (dkk 62) na Ali Msigwa (dkk 70) huku magoli ya Villa Squad yakifungwa na Idd Moshi (dkk 35, 72), Jackson Chikweta (dkk 43), Mao Haniu (dkk 78) na Chesido Mathew (dkk 80)
Si vibaya tukaitunza hii rekodi, huenda ikasaidia hapo baadaye katika mijadala kadhaa
Rejea: Tanzania (Mainland) 2008/09