Rodwell mTZ
JF-Expert Member
- Nov 16, 2012
- 1,455
- 1,621
πππAmka usije ukajikojolea
We mutu ya kujangwani.Mtakatifu Rodwell Mtz wa 11IX.
Sijasoma content ila nadhan hapa ulimaanisha FauloHamjambo Wana wa JF, kulingana na kichwa cha uzi huu hiyo ni ndoto niliyoota usiku wa kuamkia leo tarehe 25, nimeona ubao mkubwa Sana wenye maandishi manene "Yanga 6 Simba 1" .
Naomba asitokee mtu kunihukumu hiyo ni ndoto tu,nawatakia jumapili njema.
Usinihukumu kwa ndotoKabla ya kulala uwe unakula chakula alafu usilale bila kuoga.Simba 1-0 Bwege Nazi.
Ndoto ya mwendawazimu hiyoHamjambo Wana wa JF, kulingana na kichwa cha uzi huu hiyo ni ndoto niliyoota usiku wa kuamkia leo tarehe 25, nimeona ubao mkubwa Sana wenye maandishi manene "Yanga 6 Simba 1" .
Naomba asitokee mtu kunihukumu hiyo ni ndoto tu,nawatakia jumapili njema.
Ukilala na njaa lazima uote ndoto za kiwendawazimuUsinihukumu kwa ndoto
ππππKabla ya kulala uwe unakula chakula alafu usilale bila kuoga.Simba 1-0 Bwege Nazi.