Yanga A yatoa droo na JKU 0-0

Keshokutwa mnafanya tamasha lenu. Hivyo ni wakati sasa wa kuiacha Yanga ili ipimue. Maana nyuzi zenu za kuisakama zimezidi sasa humu jukwaani.
Kumbe mnabanwa na pumzi eeh
 
Afuu mleta mada nae ana beji ya platinum member🤣🤣, jf mnajidhalilisha kutoa hizi beji. Sasa Jku sio timu?, Au unafikiri maandalizi ya msimu ni timu kushinda?. Tunapowaambia Simba Simba mmeja matahira ndio hivi. JKU na mlandege hawapo ligi moja? Mbona hukuona ajabu Simba kutolewa mapinduzi na mlandege?.
 
Wachezaji ambao hawa kucheza asubuhi ndio wamecheza jioni
 
kontenti ipo hapo mwshon...kwa Nini mfiche matokeo?
 
Ona hili jinga. Mimi nimeleta matokeo ya mchezo. Wewe unakuja kumanua domo hapa. Taahira mama yako
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…