Ninaona yanga na watu wengine wajinga waliotamani kumsuta Mo, wanashadadia eti yanga kaonewa na mwamuzi.
Huu ni ushamba mkubwa na inaonesha sio wafuatiliaji wa mechi za kimataifa.
Ukihesabu matukio ya kihuni waliyofanyiwa Simba ni mengi mno lakini kwa kuwa wao wanaamini pia ni wakubwa,hutowasikia wakilalama hovyo kulaumu marefa na viongozi wa CAF sijui mara FIFA.
Yanga jifunzeni kuwa hizi level unatakiwa kuwa bora sana.Huwezi kushinda kwa kulinda goli,lazima ucheze mpira.