Yanga acheni kulalamika,lazima uwe mkubwa kwanza

Cashman

JF-Expert Member
Joined
Jun 8, 2018
Posts
3,017
Reaction score
5,294
Ninaona yanga na watu wengine wajinga waliotamani kumsuta Mo, wanashadadia eti yanga kaonewa na mwamuzi.
Huu ni ushamba mkubwa na inaonesha sio wafuatiliaji wa mechi za kimataifa.

Ukihesabu matukio ya kihuni waliyofanyiwa Simba ni mengi mno lakini kwa kuwa wao wanaamini pia ni wakubwa,hutowasikia wakilalama hovyo kulaumu marefa na viongozi wa CAF sijui mara FIFA.

Yanga jifunzeni kuwa hizi level unatakiwa kuwa bora sana.Huwezi kushinda kwa kulinda goli,lazima ucheze mpira.
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] kumekuchaaa
 
Viongozi wa Yanga na Baadhi ya Mashabiki hata kabla ya Droo waliomba sana Kukutana na Mamelody.

Haya mamelody ndio hao mmekutana nao Mnalia na kupiga Makelele.

Azizi ki anakosa Penalt.
Job anakosa Penalt.
Baka anakoaa penalt.

MNATAKA NINI ZAIDI???????
Wewe si ushajitoa mambo ya mpira, nenda jikoni ukamenye nyanya na vitunguu mpira sio fani yako
 
Ninaona yanga na watu wengine wajinga waliotamani kumsuta Mo, wanashadadia eti yanga kaonewa na mwamuzi.
Huu ni ushamba mkubwa na inaonesha sio wafuatiliaji wa mechi za kimataifa.

Ukihesabu matukio ya kihuni waliyofanyiwa Simba ni mengi mno lakini kwa kuwa wao wanaamini pia ni wakubwa,hutowasikia wakilalama hovyo kulaumu marefa na viongozi wa CAF sijui mara FIFA.

Yanga jifunzeni kuwa hizi level unatakiwa kuwa bora sana.Huwezi kushinda kwa kulinda goli,lazima ucheze mpira.
Hasa hapo umeandika nini?, yaani ukionewa wewe ukakaa kimya Kuna mpa uhalali na mwingine anapoonewa akae kimya?. Nilitegemea uje na argument Kwanini yanga Hawa uhalali wakufungua jarada la kesi juu ya upangaji wa matokea dhidi ya timu inayomilikiwa na kiongozi wa CAF. Kuja na ulojo huu ni matokeo ya aibu yenu dhidi ya alichoonesha yangu. Hamkutegemea
..
 
Endeleeni kuwekeza nguvu kwa Yanga mmegongwa nje ndani hamtaki kujadili timu yenu mmekazana ya Yanga so nyie malengo yenu yalikua yapi msimu huu?
Wapuuzi hao.
Yani mpaka huku mtaani mashabiki wa Simba wanaizungumzia game ya Yanga utadhani wao wameshinda kumbe wamepigwa 3 mulogo.
 
Viongozi wa Yanga na Baadhi ya Mashabiki hata kabla ya Droo waliomba sana Kukutana na Mamelody.

Haya mamelody ndio hao mmekutana nao Mnalia na kupiga Makelele.

Azizi ki anakosa Penalt.
Job anakosa Penalt.
Baka anakoaa penalt.

MNATAKA NINI ZAIDI???????
Mbona hutaki kugusia goli la Azizi K lililo kataliwa?
Nilikua nahitaji maoni yako kuhusiana na goli lile.
 
Huo ndo ukweli...kwani alishindwa kufunga tena?? Mngefunga tano mjichagulie magoli..
Imeisha hiyooo
Kelele zote kwishneyy...
Hii ndo mwakarobo..
Karibuni umwakaroboni...
 
Hakuna goli pale ni mind illusion tu za watu wa yanga na waliokuwa wanasubiri kumsuta Mo
 
Huo ndo ukweli...kwani alishindwa kufunga tena?? Mngefunga tano mjichagulie magoli..
Imeisha hiyooo
Kelele zote kwishneyy...
Hii ndo mwakarobo..
Karibuni umwakaroboni...
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Ndugu mbumbumbu usifikiri mjadala wa goli la Yanga lililo kataliwa Lina jadiliwa Tanzania pekeyake.
Lile goli alibebi maslahi ya Yanga pekee, linabeba maslahi ya soka la Afrika kwa ujumla Tena katika ngazi ya robo fainali ikitumika teknolojia ya kisasa ya VAR.

Watu werevu hawana shida kwakua Yanga imetolewa ila shida inayo tia shaka ni kutolewa katika mazingira yanayo husisha waamuzi kulazimisha VAR ikosee.

Haijulikani timu Gani nyingine itakutana na makosa ya kibinadamu yanayo husisha VAR.
Hapo ndipo mjadala unapohama kutoka kwa Yanga na kujadiliwa katika mitandao mbalimbali barani Afrika na nje ya Afrika.
 
Nchi gani nyingine inajadili huo upuuzi?
Na ingekuwa kweli inajadiliwa,hatuchelewi kuwaona na vi clip vinavyohusisha mijadala hiyo.
 
Kwa hakika wewe ni mbumbumbu uliye tukuka, kwaiyo vi clip vinavyo husisha mijadala ndio uta amini kwamba lile goli la Aziz k linajadiliwa na watu wa soka nje na ndani ya Afrika!!
 
Back
Top Bottom