Yanga acheni kulalamika

Yanga acheni kulalamika

ndomyana

JF-Expert Member
Joined
Jan 24, 2012
Posts
5,630
Reaction score
2,169
Mimi ni mwana yanga . Ila nasikitika viongozi benchi la ufundi wamekalia kulalamika kuonewa.
1. Yanga mechi ya kmc waliwaacha vijana wa zanzibar bila sababu yoyote hatimae tukambulia droo. Jana team imekuja mbeya ipo robo kiasi kwamba hata sabu wameshindwa kufanya kupata plan b wachezaji wameachwa dar fei toto banka yondan juma abdul makame bila sababu za msingi ukiuliza wapo mapumzikoni zaidi ya wiki sijui ni mapumziko ya uzazi au lah.

2. Nilikuwepo uwanja team ilitaka plan b wachezaji bench hawapo , ngasa alivoingia tuliona tofauti walitajika wawili zaidi waongeze nguvu ili kuipa presha mbeya city lakini benchi zima vimejaa vitoto vya u17.

3. Mkwasa nae team nzima kajaza viungo utafikiri gemu ya simba sijui alikua anamwogopa nani. Kufanya sabu gemu iliyotumia nguvu kama ile kashindwa mpaka dk90 amebadilisha mmoja.

4. Nilisikia makamu mwenyekiti anajua fitna za soka la bongo je jana alishindweje kung'amua fitna mwisho mechi imeisha yanga kocha wachezaji wanenda mlilia mwana mama kawanyima penati. Yanga msitutanie kabisa watu wanajitoa kwa hiyo team afu uongozi na benchi mnaleta masihara.

Mwisho kwa yanga hii kama mkwasa tarehe 4 ndie kocha mi siangalii mpira mtaniletea matokeo tar6 ntawasha data. Sioni utayali wa mkwasa kuisaidia yanga zaidi ya masihara.
 
Simwelewagi huyo jamaa alichofanikiwa no kumnyamazisha manyara tu. Mpaka sasa mikia uwanjani hawaendi
Kwa hiyo hayo ndiyo mafanikio yake tangu awe afisa muhamasishaji pale Yanga,ila kumnyamazisha Manara inatakiwa uwe zaidi ya Manara .
 
Dah! ila bundi hajatuacha kabisa wanajangwani. Msimu wa pili huu mfululizo. Hiyo tarehe nne, tukipata hata sare tu tutashukuru. Yaani Mbeya city haikustahili kabisa kupata sare!

Sasa sijui kwa Prison waliowadidishia Simba pale Taifa hata hiyo sare yenyewe tutaipata. Kiuhalisia ndani ya Yanga kuna tatizo ambalo halijawekwa wazi.

Ila na ule uwanja wa Sokoine, ni bora tu ukamilikishwa kwa Jiji la Mbeya. Ccm wanazingua. Pitch ni mbovu mpaka basi inaponyesha mvua.
 
Yote kwa yote kaka kwanini team iache wachezaji watano wa kikosi cha kwanza ianze kuokoteza team b huu ni uhuni wa viongozi na benchi. Kwa wenye plan b jana tungefosi hata goal 1.
 
Mimi ni mwana yanga . Ila nasikitika viongozi benchi la ufundi wamekalia kulalamika kuonewa.
1. Yanga mechi ya kmc waliwaacha vijana wa zanzibar bila sababu yoyote hatimae tukambulia droo. Jana team imekuja mbeya ipo robo kiasi kwamba hata sabu wameshindwa kufanya kupata plan b wachezaji wameachwa dar fei toto banka yondan juma abdul makame bila sababu za msingi ukiuliza wapo mapumzikoni zaidi ya wiki sijui ni mapumziko ya uzazi au lah.

2. Nilikuwepo uwanja team ilitaka plan b wachezaji bench hawapo , ngasa alivoingia tuliona tofauti walitajika wawili zaidi waongeze nguvu ili kuipa presha mbeya city lakini benchi zima vimejaa vitoto vya u17.

3. Mkwasa nae team nzima kajaza viungo utafikiri gemu ya simba sijui alikua anamwogopa nani. Kufanya sabu gemu iliyotumia nguvu kama ile kashindwa mpaka dk90 amebadilisha mmoja.

4. Nilisikia makamu mwenyekiti anajua fitna za soka la bongo je jana alishindweje kung'amua fitna mwisho mechi imeisha yanga kocha wachezaji wanenda mlilia mwana mama kawanyima penati. Yanga msitutanie kabisa watu wanajitoa kwa hiyo team afu uongozi na benchi mnaleta masihara.

Mwisho kwa yanga hii kama mkwasa tarehe 4 ndie kocha mi siangalii mpira mtaniletea matokeo tar6 ntawasha data. Sioni utayali wa mkwasa kuisaidia yanga zaidi ya masihara.
Mkwasa hana jipya huyo mpira ni sayansi sio ushirikina kama viongozi wa Yanga na Benchi la Ufundi wanavyoamini

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom