Tigershark
JF-Expert Member
- Oct 9, 2018
- 7,051
- 12,566
- Thread starter
-
- #21
Baada ya hapo wakaenda kuchukua taulo la golikipa,nalo pia wakalikung'uta kama wanatafuta kitu kwenye hilo taulo!Mkuu itakuwa wewe ni mshirikina. Kwa nn utoe hitimisho kuwa kwa kitendo hicho cha wachezaji wa Yanga kutikisa nyavu wanaamini ushirikina.
Timu ya kishirikina, wachezaji washirikina na mashabiki washirikina. A.K.A VIGAGULALeo nimeshangaa sana Kaseke na mwenzake kwenda goli la mpinzani kuanza kutikisa nyavu kama wanatafuta kitu hivi kwa chini,baadaye wakaenda hadi kwenye taulo la golikipa na kulikung'uta!Nilipigwa na butwaa kuona hivyo!Wakati huo Matokeo yakiwa Prison 1-0 Yanga na Yanga walikuwa wakishambulia sana!
Hii tabia si nzuri hasa kwa timu inayoshiriki ligi kuu na Club kubwa kama Yanga!Mnatia aibu kwakweli na hii sio mara ya kwanza ninyi kufanya hivyo!
Prison mnalingana nguvu maana kwenye mechi ya kwanza mlitoka sare tena kwenu!Sasa mnachoshangaa ni nini wao kuongoza kwa goli moja na ninyi mkiwa mnakosakosa?
Aibu kwenye michezo,mechi zinaonekana mpaka nje ya nchi halafu mnafanya ujinga!Shwain kabisa!
Siku nyingine mkagoma kuingilia lango la kuingia uwanjani,ninyi watu gani?Mbona mnaupa sana promo ushirikina?
Nawatakia kheri ya mwaka mpya!
hivi na ile tabia ya golikipa kuushika mpira uliotengwa kwa ajiri ya kupigwa penati inamaanisha nn. Au ni ushirikina pia.Baada ya hapo wakaenda kuchukua taulo la golikipa,nalo pia wakalikung'uta kama wanatafuta kitu kwenye hilo taulo!
Kwenye mchezo wa soka labda tuseme walikuwa wanatafuta nini?Filimbi ya mwamuzi au mpira ulipotelea kwenye taulo?
Halafu kuna jamaa anashupaza shingo hapa eti ni jambo la kawaida!Timu ya kishirikina, wachezaji washirikina na mashabiki washirikina. A.K.A VIGAGULA
Sent from my SM-N910F using JamiiForums mobile app
Unaamini ushirikina upo?Ww si ndio umetaja ushirikina?
Unaamini ushirikina upo?wewe uliyeitaja utufumbue macho maana ya ushirikina.
upo lakini siamini kama unafanya kazi kwenye soka. Coz kama ungekuwa unasaidia maybe Africa kuna nchi ingekuwa imewahi miliki kombe la dunia.Unaamini ushirikina upo?
Hii timu haina akili. Luc Emey alinena hawa watu sawa na manyaniBaada ya hapo wakaenda kuchukua taulo la golikipa,nalo pia wakalikung'uta kama wanatafuta kitu kwenye hilo taulo!
Kwenye mchezo wa soka labda tuseme walikuwa wanatafuta nini?Filimbi ya mwamuzi au mpira ulipotelea kwenye taulo?
5 consecutive year. Acha walie tumakanjanja ya utopolo redioni na mwanaspoti gazeti hutakaa usikie yameongelea hili ila ingekuwa simba mama yangu weeeeeeee
Ok, ndio maana tuko hapa tunakemea kwa sababu na sisi tunaamini kama wewe unavyoamini kuwa haufanyi kazi. Ila kaseke anaamini kuwa goli linaweza lisiingie sababu ya vitu kufukiwa langoni au kuvilingishwa kwenye taulo, na uthibitisho wa haya ni kwa sababu alionesha kutokuwa na imani na taulo na posts baada ya kosa kosa ya goli.upo lakini siamini kama unafanya kazi kwenye soka. Coz kama ungekuwa unasaidia maybe Africa kuna nchi ingekuwa imewahi miliki kombe la dunia.
Acha unazi usio na maana,kuvaa vitu hatarishi huwa hairuhusiwi!Sasa unaenda umevaa cheni au bangili ambazo sio plastic ukionekana lazima uzuiwe!Hizo kawaida hata ulaya tunaona,ila hii ni kali zaidi!Au ile hutaki kuingia uwanjani kupitia lango kuu,unapitia kwenye vichochoro,khaaaaah!Nasikia Kuna mchezaji mmoja mechi ya Yanga vs Simba ya 2-2 alikamatwa na hirizi uwanjani, sijui Nani yule nimemsahau kidogo jina...
Hata mimi sielewielewi!Sakata la mkude vipi mkuu ??
Kutingisha nyavu ndio uchawi? Au wewe ndio mchawi mkuu ?Leo nimeshangaa sana Kaseke na mwenzake kwenda goli la mpinzani kuanza kutikisa nyavu kama wanatafuta kitu hivi kwa chini,baadaye wakaenda hadi kwenye taulo la golikipa na kulikung'uta!Nilipigwa na butwaa kuona hivyo!Wakati huo Matokeo yakiwa Prison 1-0 Yanga na Yanga walikuwa wakishambulia sana!
Hii tabia si nzuri hasa kwa timu inayoshiriki ligi kuu na Club kubwa kama Yanga!Mnatia aibu kwakweli na hii sio mara ya kwanza ninyi kufanya hivyo!
Prison mnalingana nguvu maana kwenye mechi ya kwanza mlitoka sare tena kwenu!Sasa mnachoshangaa ni nini wao kuongoza kwa goli moja na ninyi mkiwa mnakosakosa?
Aibu kwenye michezo,mechi zinaonekana mpaka nje ya nchi halafu mnafanya ujinga!Shwain kabisa!
Siku nyingine mkagoma kuingilia lango la kuingia uwanjani,ninyi watu gani?Mbona mnaupa sana promo ushirikina?
Nawatakia kheri ya mwaka mpya!
Mbona Kaseke alikuwa akifunga goli mnasema Yanga imepata goli. Mfano mechi na Azam alifunga Kaseke na goli pekee mkasema Yanga imeshinda. Utopolo bana. Kitu kinapofanywa na mchezaji au shabiki au kiongozi tena amevaa nembo ya timu hiyo ni timu imefanya na si vinginevyo.Kitu kafanya kaseke, sasa unahusishaje Yanga yote?