Yanga acheni Ushamba, barua mliyoandika ni ishara ya kukosa ukomavu

Yanga acheni Ushamba, barua mliyoandika ni ishara ya kukosa ukomavu

sikia tena usikie vizuri sana,hata uangalie kwa ango yoyote ile uke mpira ukikuwa 100% umeingia,pia kumbuka refa alishapuliza filimbi ya twende kati,ila baadae akageuza msimamo,kama wewe ni mjinga kaa na ujinga wako,huku unajamba ho yo,yanga imetimiza matakwa ya kikanuni,ambayo inaturuhusu,timu kutuma malalamiko,hatujakurupuka kama wewe ukivyokurupuka kama umebanwa mavi baafa ya kula kiporo cha ugali wa mhogo kutoka nakapanya,shubamiti
Kuandika barua ya malalamiko ni haki yako ila kutuhumu kua kuna match fixing bila ushahidi, huu ni ujinga mkubwa sana wamefanya
 
Labda kama ni feki ila kama ni official aisee, pale kwenye match fixing wameyatimba
Club hainawataalamu ,nilichoelewa kwenye bandiko nikwamba kwa kanuni za CAF mpira lazima uvuke wote na sio upande mmoja uzidi

Kama ndivo inakuwaje yanga watafsiri kwa kanuni za UEFA au epl na wengine ulaya na kombe la Dunia wakati sisi tunachetu
 
Kwanza kabisa ni aibu kuandika Official letter kama ile tena kwa kuquote vifungu ambavyo ni irrelevant.

Hivi what does it mean fixing a match ?

Mnaweza kupigwa fine kupeleka tuhuma kama hizo bila evidence. Yaani hizo timu za SSC na Yanga utasema za ukoo, Hakuna brain kabisa.

Yaani mahaba ya mashabiki kwa mitandao mkaenda kuandika barua bila kufanya analysis za kutosha, mjiridhishe na hizo claim zenu msifanye vitu kwa hype ya mitandaoni, shame !

Decision ya REFA ilikuwa ni sahihi na lile sio goli, kwa mujibu wa sheria ya CAF, ili mpira uwe announced as a goal , haitakiwi portion yoyote ya mpira iguse line . Kama hata robo tatu ipo ndani ya goal na 1/4 ndio imegusa line , hilo sio goal.

Mpira uliopigwa na Staphan, portion of it ulikuwa umegusa line, japo asilimia kubwa like 85% ulikuwa upo ndani ya goal , 15% bado mpira ulikuwa nje ya line ya goal …. Hivyo bado haukuwa kwenye vigezo vya kuitwa goal.

Ndio maana refa hakupoteza muda na VAR. Refa anaenda VAR endapo tu ata doubt decision yake, hamuwezi kumpangia mtu kazi kwa mpira wa kubahatisha bahatisha na kushika bomba.

Na kama mlikuwa not satisfied, mna captain angemshauri refa aende, and for sure jibu lingekuwa ni lile lile. Mnabaki kusubiria huruma. Haipo hivyo. Mnacheza na NBC , magoli yenu ya mchongo tu, na mlishawahi kufunga goli kama hilo mkaweka kati, sasa mmezoea na kujua bado mnacheza NBC, that is CAF League sio NBC!

Mmejiaibisha kuandika barua bila kufanya analysis, TATIZO PRO za SSC na Yanga zinaongozwa na Academia failures waliounga unga viuandishi wa habari diploma na vi diploma vya ukocha ndio maana hawana sense utasema wendawazimu.

View attachment 2955907

Na CAF wala hawatopoteza muda kujibu gazeti lenu ambalo ni baseless claim.

Kama kweli you deserved , you had 90min in Dar, hakukuwa na maajabu yoyote, mkaenda next 90min, hakuna cha maana. Mkapewa na 5 penalties, bado hamkutoboa, still mnaweka claim as if Yanga ni timu kubwa.

Yanga na SSC ni timu ndogo ambazo hata uhakika wa kuvuka makundi kila mwaka HAZINA.

It is a shame barua kama ile kwenda CAF na tunaaibisha taifa kwa kukosa ukomavu kwenye soka.

Mmekaa 25 years hamjui robo fainal ni nini, hamna experience ndio maana claim zimekuwa nyingi, na ule refa atawafungulia mashtaka kwa defamation mliyofanya dhidi yake ili next time muache kufanya kazi kwa hype za mitandao, mfanye kazi kwa evidence informed practice.
It is match fixing well define as manipulated match
 
Hii inadhihirisha ni kwa namna gani mechi ya yanga vs mamerodi ilikua kubwa, stories zilianza before na mpaka sasa tupo after bado mnaiongelea game hiyo hiyo.

Muandishi inaonekana ni mfuasi wa kolozidad kindakindaki na kinachowatesa ni jitihada aliyoionyesha yanga hamkutarajia.

Waliobaki wanalizungumzia goli la Aziz ni wana 5mba sisi wenyewe tumeshakubali tumetolewa.
 
634658e3-15d6-4512-96e5-54330bf171ee.jpg
 
Mpira uliruka wakati filimbi imeshapigwa. Wenyewe hilo swali ndio mnatembea nalo

Mnaona kama mna reasoning , tatizo lenu ndio mara ya kwanza kucheza robo kutokea 98, na mmezoea NBC.

Pamoja na kelele zenu unakuta mwakani hata makundi hamtoboi
filimbi alipiga ya nn ya kukataa goli au kukubali goli??🙄🙄........nb mm huwa sio mshabiki wa mpira ila man U tu.
 
Hawa Yanga huwa Wana mazoea ya hovyo sana au wanadhani kule ni NBC premier league?
Nawakumbusha nyinyi uto 🐸

1.mesahau mmeshawahi kufungwa goli ila refa wenu akaamuru ipigwe kona?

2.Mmesahau juzi tu dhidi ya Kagera Sugar mmefungwa goli halali kabisa ila refa wenu akasena ni offside?

3.Mmesahau msimu uliopita tu dhidi ya Namungo mlicheza faulo ya kupigiwa penalti refa wenu akajifanya hajaona, dakika hiyohiyo mlipiga counter attack mchezaji wenu akajiangusha peke yake bila kuguswa na refa wenu bila aibu akaamuru ipigwe penalti.
4.Mmeshasahau malalamiko ya Simba kuhujumiwa kwenye michuano hiyo kwa kuonewa na waamuzi mfano mzuri mechi dhidi ya Kaizer Chiefs ambapo Simba ilifungwa goli la Offside ya wazi kabisa na refa aligoma kwenda kuangalia kwenye VAR na kuamuru kuwa goli, mechi ambayo Simba ilitolewa kwa mikwaju ya Penalti na Utopolo mliishia kuikejeli Simba?
Sasa mmeonja kidogo sana tena kwa goli ambalo bado sio 100% clear, yaani lina utata lakini vilio na kelele kila mahali.
What goes around, comes around.
Mlichowafanyia wenzenu, mlichowacheka na kuwakejeli wenzenu kimewarudia, kelele na vilio viiingi utadhani soka mmeanza kuijua leo.
we hujielewi...
 
"MASHABIKI WA YANGA NI MAMBWA HAKUNA LOLOTE WANALOJUA KUHUSU KANDANDA ILA MUDA WOTE WANAZOMEA TU UTADHANI MANYANI"

- DR LUC EYMAEL 2020
 
Tatizo lenu mshazoea NBC , goli la offiside ni goli , goli nje ya mstari ni goli.

Lile sio goli hata ukienda mbinguni. Nendeni kwenye ligi yenu mtapewa goli
Unaposema "tatizo lenu" unakuwa umejiondoa objectivity; yaani unaongea kishabiki cha "nyie" against "sisi" badala ya kusema ukweli.

Nimesikiliza watu wa South Africa wengi wanaongea very objectiovely kuwa refa alifanya kosa kubwa sana kutokwenda kujiridhisha kwenye VAR mwenye hasa kwa sababu kwa kufanya hivyo, Video yote ingechezwa kutoka angles mbalimbali na watazamaji wote wengeona ukweli. Kosa la refa ni kwa sababu alikuwa ameshachukua upande.

Watangazaji wa SABC wanasema kuwa lile lilikuwa goli kamili kwa vile waliliona mara kadhaa kwenye video zao, lakini mswahili mmoja kutoka Manzese ameshupaa bila kuwa na ushahidi wowote amekalia ya "nyie nyie" kwa vile amefurahi goli limekataliwa.


View: https://www.youtube.com/watch?v=AlnhZVx_mI4&t=405s
 
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji3][emoji3][emoji2]
 
Match fixing ni tuhuma kubwa, ndo maana inatakiwa uwe na ushahidi
Hawa CAF na FIFA ukiwatuhumu kwa match fixing wanakugeuzia kibao ulete ushahidi ukishindwa unapigwa faini plus kufungiwa. Yanga wajiandae kisaikolojia
 
Back
Top Bottom