Yanga acheni Ushamba, barua mliyoandika ni ishara ya kukosa ukomavu

Kuandika barua ya malalamiko ni haki yako ila kutuhumu kua kuna match fixing bila ushahidi, huu ni ujinga mkubwa sana wamefanya
 
Labda kama ni feki ila kama ni official aisee, pale kwenye match fixing wameyatimba
Club hainawataalamu ,nilichoelewa kwenye bandiko nikwamba kwa kanuni za CAF mpira lazima uvuke wote na sio upande mmoja uzidi

Kama ndivo inakuwaje yanga watafsiri kwa kanuni za UEFA au epl na wengine ulaya na kombe la Dunia wakati sisi tunachetu
 
It is match fixing well define as manipulated match
 
Hii inadhihirisha ni kwa namna gani mechi ya yanga vs mamerodi ilikua kubwa, stories zilianza before na mpaka sasa tupo after bado mnaiongelea game hiyo hiyo.

Muandishi inaonekana ni mfuasi wa kolozidad kindakindaki na kinachowatesa ni jitihada aliyoionyesha yanga hamkutarajia.

Waliobaki wanalizungumzia goli la Aziz ni wana 5mba sisi wenyewe tumeshakubali tumetolewa.
 
Mpira uliruka wakati filimbi imeshapigwa. Wenyewe hilo swali ndio mnatembea nalo

Mnaona kama mna reasoning , tatizo lenu ndio mara ya kwanza kucheza robo kutokea 98, na mmezoea NBC.

Pamoja na kelele zenu unakuta mwakani hata makundi hamtoboi
filimbi alipiga ya nn ya kukataa goli au kukubali goli??๐Ÿ™„๐Ÿ™„........nb mm huwa sio mshabiki wa mpira ila man U tu.
 
we hujielewi...
 
"MASHABIKI WA YANGA NI MAMBWA HAKUNA LOLOTE WANALOJUA KUHUSU KANDANDA ILA MUDA WOTE WANAZOMEA TU UTADHANI MANYANI"

- DR LUC EYMAEL 2020
 
Tatizo lenu mshazoea NBC , goli la offiside ni goli , goli nje ya mstari ni goli.

Lile sio goli hata ukienda mbinguni. Nendeni kwenye ligi yenu mtapewa goli
Unaposema "tatizo lenu" unakuwa umejiondoa objectivity; yaani unaongea kishabiki cha "nyie" against "sisi" badala ya kusema ukweli.

Nimesikiliza watu wa South Africa wengi wanaongea very objectiovely kuwa refa alifanya kosa kubwa sana kutokwenda kujiridhisha kwenye VAR mwenye hasa kwa sababu kwa kufanya hivyo, Video yote ingechezwa kutoka angles mbalimbali na watazamaji wote wengeona ukweli. Kosa la refa ni kwa sababu alikuwa ameshachukua upande.

Watangazaji wa SABC wanasema kuwa lile lilikuwa goli kamili kwa vile waliliona mara kadhaa kwenye video zao, lakini mswahili mmoja kutoka Manzese ameshupaa bila kuwa na ushahidi wowote amekalia ya "nyie nyie" kwa vile amefurahi goli limekataliwa.


View: https://www.youtube.com/watch?v=AlnhZVx_mI4&t=405s
 
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji3][emoji3][emoji2]
 
Match fixing ni tuhuma kubwa, ndo maana inatakiwa uwe na ushahidi
Hawa CAF na FIFA ukiwatuhumu kwa match fixing wanakugeuzia kibao ulete ushahidi ukishindwa unapigwa faini plus kufungiwa. Yanga wajiandae kisaikolojia
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ