Albinoomweusi
JF-Expert Member
- Oct 28, 2016
- 3,433
- 8,585
Ole Gunnar ni kama hafanyi vizuri ndani ya Manchester United lakini Viongozi juzi wameanza mazungumzo nae juu ya mkataba mpya, ni kama inashangaza sana si ndio?
Mikel Arteta ni kama hafanyi vizuri ndani ya Arsenal ila Viongozi wanamuamini na watampa fungu kwa ajili ya msimu ujao, ni kama inashangaza sana si ndio?
Liverpool baada ya Rafa Benitez kuondoka, mnakumbuka walichopitia? Lakini Viongozi hawakuwa na presha kubwa sana, ni kama waliamini kuna siku Liverpool itarejea, inashangaza wanajiamini vipi?
Top Four ya England wenyewe wanaiiita Traditional Top Four ya United, Arsenal, Liverpool na Chelsea ni kama haitulii kwasasa, kuna muda wawili hawapo au mmoja, si ndio?
Ni mara chache sana wakubwa kutamba pamoja, Simba kuna muda alikuwa vibaya sana ila Yanga alikuwa kwenye wakati bora sana, mpaka hapa tupo pamoja? Unajua ni kwanini?
Nakupa Msamiati mmoja unaitwa FOOTBALL DEVELOPMENT TRIANGLE, Mpira hauna tofauti sana na uchumi ni Boom (hii ni peak) kisha ukishafika juu kinachofata ni kushuka (Recession) kisha unadondoka tunaitwa (Depression).
Timu nyingi kubwa huwa zinadondoka kabisa, ila huwa wanaamini kwenye project kuwa wanaweza kurejea tena, kwenye depression ni kawaida kupata matokeo mabovu, migogoro na maumivu, ni kawaida kwa football.
Baada ya Depression ni kuanza kujitafuta, hii process ndio waliopo Wananchi wanajitafuta kujua wapi wapite (Recovery) ni hapa Makocha wanabadilishwa wakati mwingine, Makocha wanaaminiwa wakati mwingine na mikakati hutengenezwa ili kurejea juu.
Nachosema ni nini? Nasema kuwa timu kupotea sio tatizo, Yanga wala wasipagawe sana, kila hatua ina muda wake ina mipango yake kisha kufika juu tena, muhimu ni kushusha presha, ni kawaida project lazima iishe ianze project nyingine.
United wapo na OGS kwakuwa wana project, Arteta yupo Arsenal kwakuwa wana project, ni kawaida kwenye mpira.