Hawezi kurudiNakusubiri urudi hapa
Una kipaji cha utabiriMambo vipi Wakuu!
Leo saa mbili Klabu ya Yanga, miongoni mwa klabu chache kongwe na zenye mafanikio makubwa zaidi nchini Tanzania, inashuka dimbani leo kutafuta ushindi au sare ya magoli ili isonge mbele kwenye Kombe la Shirikisho.
Nilikuwa naongea na mizimu yangu chini, naona mechi ilishaisha mapemaaaa na Young Africans tuko tunashangilia sasa hivi!
Full time.
0-1 (Ki Aziz).
Mtu anatabiri mpaka mfungaji?Duuuh... Kuna watu mna vipaji vyakutabili.. Hadi jina la mfungaji
Tumempa like Tangu SAA 8 mchanaKaedit acheni ujinga
Yanga IN kamwagia ndani kamoja tu na mauno juuUtashangaaa mtu anamwagiwa ndani huku kashindia mihogo yake maskini Yanga Out.
vip bado umempuuza ?Ulipotaja mizimu tu nikaamua kukupuuza rasmi.
Kolo umefurahiiii[emoji23][emoji23][emoji23]Utashangaaa mtu anamwagiwa ndani huku kashindia mihogo yake maskini Yanga Out.
Umemwagiwa wewe hatimaye.Utashangaaa mtu anamwagiwa ndani huku kashindia mihogo yake maskini Yanga Out.
Njoo komenti tena.Kila mwananchi anayo haki ya kulala mchana na kuota apendavyo bila kubugudhiwa na raia yeyote!
Noma sanaMambo vipi Wakuu!