Yanga Afrika inabebwa

Yanga Afrika inabebwa

Mpira hauchezwi mdomoni ni uwanjani afu mikia hamna uwezo wa kutafsir sheria 17 ndo maana mtabaki kuwa wa mchangani
Na refa angekuwa makini zaidi Ngoma alipaswa kupewa penalty baada ya kuangushwa ndani ya box...akauchuna
 
Mikia FC wazee wa kulalamika. Mwakani tena mtaendelea kuchangia thread za wakimataifa.
 
yanga timu ya marefa.Ndo maana simba akikamataga anapiga 4,5,6....goli mingi mbaya kabisa
 
yanga timu ya marefa.Ndo maana simba akikamataga anapiga 4,5,6....goli mingi mbaya kabisa
Hatupati shida na wewe, Hans Poppe alishasema washabiki wa simba kama wewe ni Wapumbavu. Umesahau kama umeliwa nje ndani siku si nyingi!!?!!!!!
 
Back
Top Bottom