ukikaidi utapigwa2
JF-Expert Member
- Feb 24, 2015
- 15,265
- 29,991
Huyo Platinum kasha pigwa 5 na YangaPlatinum tummepiga nne bila.
Yanga tulishampiga nne pia.
Nani bora kati ya Simba na Yanga ?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Huyo Platinum kasha pigwa 5 na YangaPlatinum tummepiga nne bila.
Yanga tulishampiga nne pia.
Nani bora kati ya Simba na Yanga ?
Unathibitisha aichosema mtoa mada.Kwani Yanga haijawahi kuingia kwenye makundi? Au mbwembwe tu , makundi yameshapangwa tutajua ubora wa kikosi Cha Simba,kwenye Ligi ya Tanzania mpaka Sasa timu Bora Ni Yanga kwani haijapoteza mchezo hata mmoja wakati mtani kapigwa michezo 2.