Yanga aibu gani hii: Naona imefungua akaunti ya kuomba michango kwa mshabiki

Yanga inaendeshwa kwa hela za wanachama na mashabiki wengi. Simba inaendeshwa kwa hela za Mo peke yake.
Hadithi ya kampuni upande wa Simba ipo kwenye karatasi lakini kwenye ground sio leo wala kesho.
 
Mechi 3 pointi 2 kelele za hujuma zimeanza. Gari la barafu limekutana na jua kali.Huu ni mwanzo tu.
 
Nasikia Mo bado kudeposit 20 B...sirikali wanasubiria akiweka tu wamkamate...pesa ya Simba inatoka mfukoni kwa Mo.. Simba kuna biashara gani..acha wachangiwe kwani si wameomba wapenzi wao,kwani wameomba Watanzania wote..
Hahaaaa et akiweka tu, anadakwa na sirikal

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hahaa et aiweke bond simba

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hii hesabu uliyopiga haina tofauti na maneno ya motivation speakers wanakupigia hesabu sijui ukifuga kuku 1000 kila kuku akataga mayai kumi sawa na mayai 10000 kila yai ni shilingi 500 utapata kiasi kikubwa cha pesa.....

Mwisho wa siku hakuna mambo marahisi kiasi hicho

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Reactions: Tui
Kumbuka Mo hamiliki timu anamiliki hisa

Sent using Jamii Forums mobile app
 
washauri kilicho rahisi kufanya wafanye!!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…