Yanga akifungwa na Simba nipigwe ban ya wiki

Labani og

JF-Expert Member
Joined
Sep 15, 2020
Posts
19,637
Reaction score
29,473
Japo Mimi ni mchambuzi na sina timu kama kawaida yetu ila leo naomba ku-declare my interest kwa kuipa ushindi Yanga Kwa kosi zito walilonalo wananchi. Ni zito kucheza na Simba, naona Simba wataelemewa from the beginning hivyo kupigwa mvua ya goli.

[emoji23][emoji23]Yanga kifupi inapangika tu kuanzia golini hadi Namba 7 lakini kuanzia Namba 8 had 11 haipangiki hujui uanze na nani umuache nani[emoji23][emoji23]

Soma Pia: Yanga SC VS Simba SC | Semi-Final | Community Shield | Benjamin Mkapa Stadium | 08/08/2024

Utabiri wangu: Yanga 4 - 0 Simba

NB: Kama Simba wakishinda naomba moderator mnipige week ban.



 
Nimeomba nipigwe bani Kwasababu ni kama nitakuwa nimeaibisha taaluma yangu ya uchambuzi

Mfano
Japanese samurai wanajiua wenyewe Baada ya kufanya makosa ( accountable) with negative results from mission
 
Hata ungesema upigwe ban maisha siku hizi Wala hatujali sababu mods na uongozi wa jf haupo serious na ahadi kama hizi. Kwahiyo endelea kujiropokea tuu mkuu hakuna madhara utakayopata.
Hapana mkuu kwangu naomba iwe real
 
 

Ngoja tu-quote usije ukafuta...
 
Yani we mkaka naweza kupea bure kwa uchambuzi wako nimeupenda sana na upo sahihi
 
Tupo hapa
 
Hapa hatauchachi hautoboiii
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…