Yanga akifungwa na Simba nipigwe ban ya wiki

Nimeomba nipigwe bani Kwasababu ni kama nitakuwa nimeaibisha taaluma yangu ya uchambuzi

Mfano
Japanese samurai wanajiua wenyewe Baada ya kufanya makosa ( accountable) with negative results from mission
Hyo taaluma yako ya uchambuzi umeisomea wapi,
 
Japo Mimi ni mchambuzi na sina timu kama kawaida yetu ila leo naomba ku-declare my interest kwa kuipa ushindi Yanga Kwa kosi zito walilonalo wananchi. Ni zito kucheza na Simba, naona Simba wataelemewa from the beginning hivyo kupigwa mvua ya goli.

[emoji23][emoji23]Yanga kifupi inapangika tu kuanzia golini hadi Namba 7 lakini kuanzia Namba 8 had 11 haipangiki hujui uanze na nani umuache nani[emoji23][emoji23]

Utabiri wangu: Yanga 4 - 0 Simba

NB: Kama Simba wakishinda naomba moderator mnipige week ban.

Kwa kukusaidia simba hachezi leo tarehe 8 ,simba anacheza tarehe 9, Aya Njoo na utabiri wako mpya wa tarehe 9 siyo tarehe 8
 
Japo Mimi ni mchambuzi na sina timu kama kawaida yetu ila leo naomba ku-declare my interest kwa kuipa ushindi Yanga Kwa kosi zito walilonalo wananchi. Ni zito kucheza na Simba, naona Simba wataelemewa from the beginning hivyo kupigwa mvua ya goli.

[emoji23][emoji23]Yanga kifupi inapangika tu kuanzia golini hadi Namba 7 lakini kuanzia Namba 8 had 11 haipangiki hujui uanze na nani umuache nani[emoji23][emoji23]

Utabiri wangu: Yanga 4 - 0 Simba

NB: Kama Simba wakishinda naomba moderator mnipige week ban.
Hakuna matata.
 
Utoto raha

Soma Pia: Yanga SC VS Simba SC | Semi-Final | Community Shield | Benjamin Mkapa Stadium | 08/08/2024

Utabiri wangu: Yanga 4 - 0 Simba

NB: Kama Simba wakishinda naomba moderator mnipige week ban.

Kaa kwa kutulia na uchawambuzi wako
 
Back
Top Bottom