CAPO DELGADO
JF-Expert Member
- Aug 31, 2020
- 8,542
- 18,340
Ushabiki wa mpira na utani wake siyo uadui mkuu. Lengo ni burudani na siyo vinginevyo
Nimenukuu maneno ya
1. Haji manara
2. Luke Emrey.
3. Na VITABU vya KIHISTORIA.
Pia tunaangalia na Nyuzi ambazo zinaanzishwa na mashabiki wengi WA Yanga mfano
Laban Og
Nalia Ngwema.
Ndipo tunaprove kwamba Hawa akina Haji na Luke na VITABU hawakuropoka ilikuwa ni Kweli.
Na MANENO YAO YANAZIDI KUISHI