CAPO DELGADO
JF-Expert Member
- Aug 31, 2020
- 8,542
- 18,340
Ushabiki wa mpira na utani wake siyo uadui mkuu. Lengo ni burudani na siyo vinginevyo
Yupo wapi luc eym....?
Sawa Mwambie manyani yanatandaza soka safi kabisaaaAmekuwa South Africa kama Coach
Nadhani atakuwa Huko.
Ila ametuachia Neno Kali sana mashabiki WA Yanga.
LUC EYMAEL ALISEMA.
"MASHABIKI YA YANGA NI MAMBWA HAKUNA LOLOTE YANALOJUA KUHUSU KANDANDA ILA MUDA WOTE YANAZOMEA TU UTADHANI MANYANI"
- DR LUC EYMAEL 2020
Itakuwa ni hasara ya kihasibu kama ile ya Aziz K.Kuna hasara yeyote tunapata ukila ban? Weka kitu cha kupoteza
Hahahaha 🤣🤣🤣🤣🤣 hahahaha hahaaaaaaaaaaaaMabingwa watetezi na wataalamu wa kutandaza soka safi, soka burudani nk watakuwepo uwanjani leo kupigania point 3 muhimu dhidi ya Azam wanalambalamba.
Bila kupapasa nasema leo Azam anafungwa za kutosha na iwapo Yanga ikifungwa basi nipigwe Ban.
Mwanambarali.
Hasibu la FIFA lenye ACCA...Kuna hasara yeyote tunapata ukila ban? Weka kitu cha kupoteza
Unaweza usiwe imekamilika wewe na hujitambui. Sio kupayuka hukoView attachment 2790258
Mashabiki WA Yanga Hawana Akili.
Mashabiki WA Yanga wapumbavu.
Mashabiki WA Yanga ni WAJINGA na hawajaenda shule.
Si ndio dk ya kwanza sioni yanga leo inakufa nguvu zao nyingi wamezipoteza kwenye mechi ya mabingwa wa africa mashariki baada ya kuwaza game yao na lambalamba fei toto Ana goli litaombatana na kadi nyekundu kwakwe
Alipoongea hayo maneno unayoyanukuu ile Timu ya SA ilivunja mkabata nae kwa kutoa maneno ya kibaguzi kwa watu weusi wewe unaendelea kuyatumia akiambiwa maneno yeyote mtu mweusi jua na wewe upo kundi hilo hilo ila ni mpaka uwe na baadhi ya miguu ndio utaelewa hili...Amekuwa South Africa kama Coach
Nadhani atakuwa Huko.
Mala ya mwisho alioshtaki yanga FIFA Alikuwa anaidai mamilioni.
Nusura yanga wafungiwe Kusajili.
Ila ametuachia Neno Kali sana mashabiki WA Yanga.
LUC EYMAEL ALISEMA.
"MASHABIKI YA YANGA NI MAMBWA HAKUNA LOLOTE YANALOJUA KUHUSU KANDANDA ILA MUDA WOTE YANAZOMEA TU UTADHANI MANYANI"
- DR LUC EYMAEL 2020
SA walimtimua na mkataba wake wa kazi ulifutiliwa mbali kwa hayo maneno yake...Sawa Mwambie manyani yanatandaza soka safi kabisaaa