Yanga akikataa rangi ya logo na Simba akisimamia isibadilishwe

Dabil

JF-Expert Member
Joined
Sep 30, 2021
Posts
6,823
Reaction score
15,293
Yanga wakikataa twiga mwekundu ,na Simba wakisimamia kwenu kanuni ya TFF nini kitatokea?Maana hawa majamaa walikimbia mechi mchana kweupe basi lilipaa kama mwewe wakisimamia kanuni.

Sasa wapo nje ya kanuni ya TFF kuhusu logo, vipi Simba wakisimamia kanuni ? Kama mbwai mbwai tu mdhamini akisusa tunajua nani ataumia
 
Hivi mpaka sasa sijajua upi msimamo wa msukule ju ya sakata hili

Hivi anaweza kuwakingia kifua kweli kwenye jambo hili la kijinga japo kua kaishakua chawa?

Maana kwenye swala la kuwalalamikia viongozi wa tff aliwakataa, sijajua kwenye hili.
 
Wakuu hili jambo mbona limeisha tangu jana au kuna lingine tena

Mwanangu Twiga hana namna inabidi awe Mweusi na mlima Kilimanjaro utanakshiwa kwa rangi ya kijani
 
Wakuu hili jambo mbona limeisha tangu jana au kuna lingine tena

Mwanangu Twiga hana namna inabidi awe Mweusi na mlima Kilimanjaro utanakshiwa kwa rangi ya kijani
Twiga lazima awe mwekundu ,tunasimamia kanuni
 
Baggers cant be choosers la sivyo wajidhanini. Yanga timu yangu ila wakileta mdomo juu ya rangi sijui vitu gani nitashangaa sana nyakati hizi
 
Baggers cant be choosers la sivyo wajidhanini. Yanga timu yangu ila wakileta mdomo juu ya rangi sijui vitu gani nitashangaa sana nyakati hizi
Vitu vidogo Ila wanavikuza
 
Baggers cant be choosers la sivyo wajidhanini. Yanga timu yangu ila wakileta mdomo juu ya rangi sijui vitu gani nitashangaa sana nyakati hizi
Wewe ni mamluki tu
 
Wewe ndo inavikuza ambaye kila muda unaleta uzi kuhusu Twiga, wakati mjadala ulisha isha na twiga mwenyewe amekubali kuwa mweusi
Mkuu twiga habadilishwi vile vile kanuni haibadilishwi
 
Yanga kila akishiriki Caf Champions wale jamaa logo yao ni nyekundu na Wananchi wanaivaa bila shaka!
 
Kule hana uwezekano wa kukutana na Simba.
Kukataa rangi nyekundu wanatekeleza maagano yao ya kichawi ili wasitawaliwe na Simba
Yanga kila akishiriki Caf Champions wale jamaa logo yao ni nyekundu na Wananchi wanaivaa bila shaka!
 
NBC Wenyewe hata hawana shida, ila hao mikia makolo sasa wanavyoumia.
 
Yanga ndio wenye mpira wa Tanzania, Mwenye mpira apangiwi chakufanya.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…