Dabil
JF-Expert Member
- Sep 30, 2021
- 6,823
- 15,293
Yanga wakikataa twiga mwekundu ,na Simba wakisimamia kwenu kanuni ya TFF nini kitatokea?Maana hawa majamaa walikimbia mechi mchana kweupe basi lilipaa kama mwewe wakisimamia kanuni.
Sasa wapo nje ya kanuni ya TFF kuhusu logo, vipi Simba wakisimamia kanuni ? Kama mbwai mbwai tu mdhamini akisusa tunajua nani ataumia
Sasa wapo nje ya kanuni ya TFF kuhusu logo, vipi Simba wakisimamia kanuni ? Kama mbwai mbwai tu mdhamini akisusa tunajua nani ataumia