Dr Matola PhD
JF-Expert Member
- Oct 18, 2010
- 60,050
- 104,466
Kumbe wewe ndio ulimponza Muasibu wetu!Itakuwa ni aibu na hasara kubwa kwa Klabu ya Yanga kama itashindwa kuingia hata makundi kwa usajil walioufanya. Aziz Ki amesajiliwa kwa hela nyingi na analipwa zaidi ya mil. 20 kwa mwezi.
Huyu peke yake anachukua mshahara wa kama mil. 300 kwa mwaka. NBC Ligi Kuu wanatoa mil. 500, je, hii si hasara? Morrison kawapiga sana Yanga pia, Mayele naye kakiwasha anadai hela kama ya Aziz Ki.
Ndiyo maana ile siku ya mechi ya Yanga na Al Hilal, Hersi alivuta pumzi ya hisia na kuogopa.