babu onyango
JF-Expert Member
- Jan 12, 2023
- 378
- 984
Kama ambavyo tayari imeshajulikana kwamba mwaka huu tuzo nyingi zitaenda Yanga (winner takes all)
Viongozi, mashabiki na wapenzi wa Yanga Afrika kataeni huu uhuni unaotaka kufanywa na Tff kwani waathirika wakubwa wa kusogezwa mbele kwa izo tuzo ni nyie..
Hebu jaribuni kuwaza nje ya box, wakati wa izo mechi za ufunguzi wa ligi ( ngao ya jamii) mkipoteza mechi iyo ya ufunguzi labda dhidi ya mtani wenu Simba na yeye ndio akabeba iyo ngao ya ufunguzi wa ligi, hizo tuzo zenu zitakuwa na maana gani?
Yaani mtapata wapi ujasiri wakushangilia tuzo za msimu ulioisha wakati wenzenu tayari wameanza kuvaa medali za ushindi wa msimu mpya ulioanza?
Pia endapo Aziz Ki atakuwa ameondoka Yanga na kusajiliwa na timu nyingine, je mtaweza kuhoji maamuzi ya Tff kumpa u MVP mchezaji mwingine tofauti na Aziz Ki? Kwa maana wakati huo mtakuwa mnamtetea mchezaji asiye mchezaji wenu?
TFF sio wapumbavu kupeleka mbele utoaji wa tuzo, wana agenda ya siri...
Shauri yenu, babu onyango ndio nimeshawasanua hivyo