Yanga anauwezo wa kushinda mechi ya ugenini dhidi ya MC Alger kwa sababu hizi

Na akishinda unaweka nini sema mapema,,,wewe uliwai kusema yanga awezi vuka kwenye kundi la belouzdad na Al ahly kwenda robo fainali lakini alipovuka ukuonekana ukatokomea kusikojulikana sasa unakuja Tena na utabiri hewa hapa kumbuka Mpira unadunda!
mmmmh we utakuwa mjeda nn hii roho ngumu kwelkwel
 
Atleast wewe umechambua kwa weledi. Ila wachangiaji asilimia kubwa ni kama hawajaelewa ulichoandika. Wengi wanaandika kimihemko na kishabiki. Ila kiuhalisia kama hayo yatafanyika kwa usahihi kuondoka na ushindi au hata point moja inawezekana.

Game na Al Hilal nidhamu ilikosekana kipindi cha pili unaenda kushambulia unaacha goli wazi mwisho unapifwa counter kamba. So kama tutaweka nidhamu kiuchezaji na kuzinfatia ya muhimu inawezekana
 
Yanga ya msimu uliopita inaweza kufanya yote aliyoyaandika mleta mada yanga ya msimu huu haiwezi kufanya hata robo ya aliyoyaandika mleta mada
 
Mimi Young Africans ila naona Dalili zote za kupoteza hii game, tunapitia kwenye Kipindi kigumu.
 
Wewe na mwenzio mjue kwamba Swala la Nidhamu uwanjani linategemea unacheza na nani kuna mifumo huwa inafumua plan zote za Timu yako ingekuwa Rahisi kama hivyo basi mpila wa miguu ungekuwA mchezo wa hovyo kuwahi kutokea ila soccer lina madalaja kwenye upande wa makocha na upande wa wachezaji hicho ndo kinaamua matokeo kwa Asilimia Tisini.
 
Hizo mbinu hazikuwepo kwa Ibenge? mkashenyetwa nyumbani
 
Sidhani. MC Algier ni Waziri Sana hasa wakiwa kwao.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…