Yanga anauwezo wa kushinda mechi ya ugenini dhidi ya MC Alger kwa sababu hizi

Yanga anauwezo wa kushinda mechi ya ugenini dhidi ya MC Alger kwa sababu hizi

Na akishinda unaweka nini sema mapema,,,wewe uliwai kusema yanga awezi vuka kwenye kundi la belouzdad na Al ahly kwenda robo fainali lakini alipovuka ukuonekana ukatokomea kusikojulikana sasa unakuja Tena na utabiri hewa hapa kumbuka Mpira unadunda!
Mpira umedundia nyuma diara!
 
Kwa Yanga ya sasa husiingie na matokeo yako mfukoni, wee kaa uangalie mpira ila husiwe na matarajio makubwa.
Siku hizi unateseka hadi nakuonea huruma maskini.
Na iwe hivi had kwenye ligi, sisi tunyanyue kwapaa. Lol
 
Na akishinda unaweka nini sema mapema,,,wewe uliwai kusema yanga awezi vuka kwenye kundi la belouzdad na Al ahly kwenda robo fainali lakini alipovuka ukuonekana ukatokomea kusikojulikana sasa unakuja Tena na utabiri hewa hapa kumbuka Mpira unadunda!
umedundia wapi?
 
SIO KWAMBA HATUONI UPUMBVUU MNAOANDIKA TUNAWAZOOM TU.

PUNGUZENI KUROPOKA.

TAIFA.
LIMEKUFA KWA WAJINGA.
LIMEOZA KWA MBUMBUMBU.
LINAZIKWA NA WAPUMBAVU
Nyie mods mnakula mshahara wa bure tu hapo sada huyu mbona mnamchekea sana?
 
Siku hizi unateseka hadi nakuonea huruma maskini.
Na iwe hivi had kwenye ligi, sisi tunyanyue kwapaa. Lol
Huu msimu utakuwa mrefu sana kwetu,ndio maana nipo jukwaa la kimataifa ukitaka uchambuzi wa Russia na Ukraine na mengineyo nitafute au unaweza ukaniona kwenye jukwaa la mapenzi.
 
Back
Top Bottom