Yanga anauwezo wa kushinda mechi ya ugenini dhidi ya MC Alger kwa sababu hizi

Zembe likaalo kwa kivuzi lilisikika likinena
 
Tuliwaambia Yanga hata wacheze siku nzima hapo hawawezi kuwafunga hao jamaa haya kiko wapii timu dakika 90 zote haijapiga hata shots 1 on target
Hao waarabu wangeweza kuanza bila hata kipa na wangetoka na clean sheet
 
Kachukue nafasi ya Saidi Mkuu
 
Wewe ulielewa..eehhh tupe kilichotokea
 
🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣👇👇

View: https://www.instagram.com/p/DDSpuLuI3er/?igsh=MTE2cWU1bnRtaWRkag==
 
Wewe ulielewa..eehhh tupe kilichotokea
Alichochambua jamaa akasema kama yatafuatwa kwa usahihi Yanga angeweza kupata matokeo. Kwa bahati mbaya Yanga hakua na uwezo kufikia aliyoyasema ndugu mchambuzi.

Msisome kwa hisia someni kutafuta uelewa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…