CAPO DELGADO
JF-Expert Member
- Aug 31, 2020
- 8,542
- 18,340
Mpira umedundia nyuma diara!Na akishinda unaweka nini sema mapema,,,wewe uliwai kusema yanga awezi vuka kwenye kundi la belouzdad na Al ahly kwenda robo fainali lakini alipovuka ukuonekana ukatokomea kusikojulikana sasa unakuja Tena na utabiri hewa hapa kumbuka Mpira unadunda!
Basi mtakula mbili na mazembe, au tuongeze?Wale waarabu kama walitoa draw na Mazembe, sisi tunaweza kuwakalisha
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Yanga 3
Waarabu 0
Sema tena, [emoji23][emoji23][emoji23]Wale waarabu kama walitoa draw na Mazembe, sisi tunaweza kuwakalisha
Shida nini?[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Siku hizi unateseka hadi nakuonea huruma maskini.Kwa Yanga ya sasa husiingie na matokeo yako mfukoni, wee kaa uangalie mpira ila husiwe na matarajio makubwa.
umedundia wapi?Na akishinda unaweka nini sema mapema,,,wewe uliwai kusema yanga awezi vuka kwenye kundi la belouzdad na Al ahly kwenda robo fainali lakini alipovuka ukuonekana ukatokomea kusikojulikana sasa unakuja Tena na utabiri hewa hapa kumbuka Mpira unadunda!
Nyie mods mnakula mshahara wa bure tu hapo sada huyu mbona mnamchekea sana?SIO KWAMBA HATUONI UPUMBVUU MNAOANDIKA TUNAWAZOOM TU.
PUNGUZENI KUROPOKA.
TAIFA.
LIMEKUFA KWA WAJINGA.
LIMEOZA KWA MBUMBUMBU.
LINAZIKWA NA WAPUMBAVU
🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣Kwa Sasa Yanga ni moja ya team bora kabisa Afrika.
Nimechekaa tyuuh, LolShida nini?
Huu msimu utakuwa mrefu sana kwetu,ndio maana nipo jukwaa la kimataifa ukitaka uchambuzi wa Russia na Ukraine na mengineyo nitafute au unaweza ukaniona kwenye jukwaa la mapenzi.Siku hizi unateseka hadi nakuonea huruma maskini.
Na iwe hivi had kwenye ligi, sisi tunyanyue kwapaa. Lol
Endelea hivyo hivyo na tunaondoka humu bakini nyie wenyeweNimechekaa tyuuh, Lol
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Sawa sawa bwana mcha 🐐
Leo wamecheza na TP Mazembe, ngoja tusubiri matokeowanacheza lini kwani