Hoffenheim
JF-Expert Member
- Dec 25, 2022
- 1,077
- 2,505
Utakuwa mshabiki wa utopolo maana hao huwa ni mbumbuu na huwafananisha wenzao kama ni mbumbuu wenzao.Mmhhhh sasa hapa huongei ki sport..umeanza kuongea kimbumbumbu...Anyway hata hivyo mi sio mjuzi sasa acha waje wenye yanga yao..mi ni mpenz wa kawaida tuu wa soka
Yanga Wana uwezo wa kufika nusuYanga tusilewe sasa.Kwel timu iko vyedi ila sio kwa kujipa matumaini haya namna hii.
Tuwe na kiasi.
Hapa tu kupita kwenda robo bado tuko mguu nje mguu ndani hati hati...lolote laweza kutokea
Muache kufananisha club bingwa na shirikisho.Usiwe na akili ya kukariri, Monastir ambaye ndiye anayeongoza kundi la Yanga na ambaye ndiye timu iliyomtoa bingwa mtetezi (Berkane) katika mashindano, imeshindwa kumfunga Bamako nje ndani. Monastir walitanguliwa ila wakaja kuchomoa goli na mechi kuisha sare.
Kitu cha pili ni kwamba Yanga hakuwa na utamaduni wa kufanya vizuri akiwa nyumbani, huo utamaduni alikuwa nao Simba wa kutegemea kuwa utakuja nawewe kwetu utaona. Yanga walimtoa Club African nyumbani kwake huko huko. Bamako kaponea chupu chupu kufungwa kwake kasawazisha dakiks za mwisho.
Kama unafatilia mpira utaona kuna kitu kinaenda kutokea mbeleni, endapo hakutakuwa na mvurugano wa kuondoka wachezaji muhimu na benchi la ufundi la Yanga na kufanya maingizo machache tu, Yanga inaenda kutengeneza ufalme wake katika michuano ya kimataifa. Timu zinachozeza na Yanga zinacheza kwa nidhamu kubwa na kuwa wanyonge na kusubiria counter attack hata wakiwa majumbani kwao. Ni wakati tu wa Yanga kujiimarisha katika mapungufu machache waliokuwa nayo. Kwenye performance ipo vizuri ni swala la kujiimarisha katika umakini tu (ushambuliaji na ulindaji)
Sasa mkuu mbona nime declare interest mapema kwamb mi ni mdau wa Yanga hapo juu!!?Utakuwa mshabiki wa utopolo maana hao huwa ni mbumbuu na huwafananisha wenzao kama ni mbumbuu wenzao.
Yanga ameshinda goli mbili tena nyumba unasema Yanga yupo vizuri?
Angempiga nje ndani sawa. Yanga akiwa away ni mbovu sana 100%. Uhakika wa kushinda mechi yanga akiwa away 0.5%
Js saora ni timu Bora ya kiarabu!?..anyway,Al ahl kishafungwa na yanga hapo kwa mkapa kabla Simba hajaonja ushindi kwa ahliyAmfunge Monastir hapa Dar kwa goli mbili au zaidi,
Kuwafunga TP Mazembe na Bamako mshajiona mabingwa?
Na Simba iliyomfunga Al Ahly na JS Saora, timu bora kabisa za kiarabu waseme nini?
Usitoke kwenye hoja yako. Hoja yako ni Yanga kushindwa kufanya vizuri away na pia kushindwa kumfunga nje ndani Bamako. Nimekupa majibu, sasa jibu kulingana na tunachojadili. Usikimbie hojaMuache kufananisha club bingwa na shirikisho.
Muziki wa club bingwa muulize Yanga atakupa majibu vizuri. Club bingwa wanacheza wanaume tu
Unamsifu Vipers kwa kumfunga TP Mazembe na Vipers kufungwa na Simba. Sasa Yanga anamtoboa Mikia FC, Pusha FC, Punda FC, Bwimbwi FC toka 2021, umeipata derivative hiyo?Kisa tu ...Mmeifunga Mazembe Aliyetolewa Na Vipers.... Vipers ambaye huko aliko CL anapigwa Kama Ngoma...!
Kwa Kweli mnaigilizia Vizuri Mwaka huu kutoka kwa Simba,Sasa Nyie endeleeni Kudesa Kwa Timu Kubwa Simba Jinsi Ya Kuenenda..! Acheni Kuchonga.!
Ni kweli uwezo upo so kilichobaki kuonyesha uwezo twenzetu mbele..Timu iko vizuri ila mleta uzi anasema kuchukua shirikisho!!!dah hii ngumu kidogoYanga Wana uwezo wa kufika nusu
Kumbe wapo wanaozijua hizo mbinu! Basi watazitumia hizo hizoAl hilal, na as monastir walijua ilo mapema ndo maana walicheza mipira ya kujazana nyuma
Pyramid,fa Rabat ni vikwazoNi kweli uwezo upo so kilichobaki kuonyesha uwezo twenzetu mbele..Timu iko vizuri ila mleta uzi anasema kuchukua shirikisho!!!dah hii ngumu kidogo
Mbona kwenye title umesema wana uwezo wa kuchukua kombe, sasa iweje tena useme kufika nusu fainali? Umeshtuka nini? Tena umesema kabisa 'kuchukuwa', sio 'kuchukua'Yanga Wana uwezo wa kufika nusu
Pia timu za south africa huwa bora sanaPyramid,fa Rabat ni vikwazo
Mimi ni mtoa mada!?..mwana lizombe ushalewa jua Kali hivi!!Mbona kwenye title umesema wana uwezo wa kuchukua kombe, sasa iweje tena useme kufika nusu fainali? Umeshtuka nini? Tena umesema kabisa 'kuchukuwa', sio 'kuchukua'
Brother K huyoMimi ni mtoa mada!?..mwana lizombe ushalewa jua Kali hivi!!
Timu ipi ya sauzi ipo shirikisho!?..south hakuna mpira siku hizi zaidi ya mamelodPia timu za south africa huwa bora sana
Unafikiri South Afrika tumewazidi mpira?Timu ipi ya sauzi ipo shirikisho!?..south hakuna mpira siku hizi zaidi ya mamelod
Shida ya Yanga akiwa away kushinda mechi ni 0.5%Ni kweli uwezo upo so kilichobaki kuonyesha uwezo twenzetu mbele..Timu iko vizuri ila mleta uzi anasema kuchukua shirikisho!!!dah hii ngumu kidogo
Sawaa..ingawa hata mwaka huu Yanga kacheza club bingwa!!Shida ya Yanga akiwa away kushinda mechi ni 0.5%
Kwenye shirikisho, mechi ngapi ameshinda akiwa away?
Jitahidini msimu ujao, mcheze club bingwa. Muache kucheza vikombe vya wazembe