Prakatatumba abaabaabaa
JF-Expert Member
- Aug 2, 2022
- 1,842
- 6,087
Ligi ya bongo bingwa anaanza kuonekana mapema mno, watu wa mpira walishajua bingwa wa msimu huu ni nani.
Kuiombea mabaya Yanga apoteze sio sababu je akipoteza simba anaweza kuendeleza ushindi msimu mzima? Jibu ni HAPANA.
Yanga anaweza poteza point hata 6 walingane na simba lakini bado atachukua ubingwa tu, simba timu yake ni dhaifu mnoo mzamiru ambaye mwaka mmoja nyuma mashabiki walikua hawamtaki sasahivi ndio tegemeo asipokuwepo ni stress maana hakuna mbadala.
Kikosi cha simba kuanzia namba 2 mpaka namba 11 wamechoka mnoo kikosi ni kidogo hawawezi kushinda kwa muendelezo uleule.
Simba katoka kudraw, atashinda game mbili au tatu mfululizo then ana draw.
Tusiombee mabaya yanga, lakini tujikite kusuka kikosi cha ushindani.